Watu wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema Sepetu

Huwezi kuokota embe chini ya mchungwa...
Mimi wala sishangai...

Clip ya mama yake anaporomosha matusi ya aibu na umri ule ndio ilinifanya niache kumshangaa...
 
sikuwah kua na mahaba na wema aiseeee hyu mdada hapana jamani mwacheni Diamond afanye yake
 

Miafrika ndivyo tulivyo, kupenda kuabudiwa.
Kama ni kweli hii imetokea basi huyu Dada siku zake zinahesabika.
Nasikia aliwahi tena kumlamba vibao Meneja wa Hoteli mpaka akashtakiwa.
 

Sasa wanaume wawili mbele ya wanaume saba mabaounsa watafanya nini?

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 

well said.....ur really a fighter dude
 
Hahahaa hakya mungu mwaka unaniishia vizuri mambo yanaenda step kwa step,ngoja niendelee na juisi yangu ya ukwaju
 
jamani petit kushinda kwa wema ni sana yuko kazini kwake kama nyie mnavyoshinda maofisin mkiacha wake zenu home. mlitaka akaibe. hivi kuna muigizagji mwingine ana wanyakazi wengi kama wema? duu wema is not only a problem is an issue!
 
Uhmmmm,wanawake wasio zaa hawana uchungu wanastress znazofanana
 
Huyu Petit ndio shemeji wa Diamond sasa nimeelewa kwanini nilisikia Diamond alikuwa hamkubali jamaa! Yani huyu hana shughuli ya kufanya? au pale nyumbani kwa Wema ndio ofisi? Wema atakuwa ana walipa!

Wale ni makuwadi wa Wema,kila mmoja anafight kule pedeshee lenye mapesa
 
Hahahaa! Umefanya niombee sana muanze kuishi pamoja kazi yangu iwe kukusanya ndoo za popcorn. Ila wapambe wake ndo wanamharibu sana na kumfanya awe kama mtemi mtemi.
Ova

Hahahaaa usisahau na first aid kit maana damu zingemwagika kila siku,ningemshikisha adabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…