Watu wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema Sepetu

Watu wapigwa na kuvuliwa nguo nyumbani kwa Wema Sepetu

Hahahaaa usisahau na first aid kit maana damu zingemwagika kila siku,ningemshikisha adabu!

Hahahahaaaa! Na alivyo hauwezi ugomvi, sipati picha utakavyomtoa ngeu kila mahali.
Ova
 
Hahahahaaaa! Na alivyo hauwezi ugomvi, sipati picha utakavyomtoa ngeu kila mahali.
Ova

Hahahaaa yule anajitia jeuri sana,anawaonea haohao misukule yake mimi angekaa tu....lol
 
Uhmmmm,wanawake wasio zaa hawana uchungu wanastress znazofanana

anapataje uchungu wakat mtoto hana hat wa dawa, mshenz yule ningekuwepo kwenye tukio ningemmalizia hasira zangu zote, na alivyokuw ana ngoz ya nguruwe unampa kichapo cha haja mpaka aipate fresh, we ngoj t
 
Hahahaaa yule anajitia jeuri sana,anawaonea haohao misukule yake mimi angekaa tu....lol

hasira zake za zar anamalizia kwa vijana wa watu, tutamkomesha huyo, atajuta mwaka hu
 
anapataje uchungu wakat mtoto hana hat wa dawa, mshenz yule ningekuwepo kwenye tukio ningemmalizia hasira zangu zote, na alivyokuw ana ngoz ya nguruwe unampa kichapo cha haja mpaka aipate fresh, we ngoj t

Hahahaaaa hunizidi mimi!
 
hasira zake za zar anamalizia kwa vijana wa watu, tutamkomesha huyo, atajuta mwaka hu

Hao vijana sidhani kama ndugu zake watasamehe hili,wakisamehe nitawaona wajinga sana
 
Nadhani huyo wema wenu hajawahi kukanyaga viumbe vya manzese,buguruni,tandale(sio type ya ndomo) temeke na maeneo mengine yafananayo!kinyume cha hapo tungesikia kageuzwa mmakonde chale zamani kwa viwembe na visu atawaonea hao hao mbwigiraa sijui anawaokotea wapi!uswahili kuna vijitu vimepinda mpaka shetani anawaamkia akiwaona!nenda katukane ovyo uswahili uone kama hujapata kichapo basi utarogwa tu ,labda wewe uwe top dog wa mambo hayo!
 
Back
Top Bottom