Hey,msivae hivyo.Mtafananishwa na mishumaa ya kwaresma na nywele watadhani utambi...!Don't dare do that, fella!Hahahaha basi tutavaa nguo nyeupe
ngoja nisubir uzi maalumu.Unaweza uliza hata hapa mkuu
Uwe mkweli mkuu.Au nimemdanganya?Maana mishumaa ya kwaresma huwa minene na vimo vifupi bila kusahau tambi nene nyeusi.Gosh!What a coincidence! Shorties might play those candles perfectly![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππUwe mkweli mkuu.Au nimemdanganya?Maana mishumaa ya kwaresma huwa minene na vimo vifupi bila kusahau tambi nene nyeusi.Gosh!What a coincidence! Shorties might play those candles perfectly!
Stanley Mahenge nakusoma sana Kingo ...ulivyo mfupi lazima umindUbaguzi tayali umeanza kutunyemelea watanzania,maana sasa tumeanza kutoleana kasoro.mbaguzi si mzungu hata ss waafrica tunabaguana mfano mleta mada kaacha kuandika mambo ya maana anakuja na maada ya warefu na wafup huo ni ubaguzi....
Stanley Mahenge nakusoma sana Kingo ...ulivyo mfupi lazima umind
Kwani wewe sio Stanley Mahenge almaarufu Kingo?Hahahaha duh! izo dharau ten yaani unanifananisha na kingo..powa jamaa
hahahahaha noma sanaWatu wafupi wanahasira sana kwakua moyo wao upo karibu na mfuko wa mavi so muda wote unachemka tu!
ππππ€£π€£π€£π€£ufupi raha sana yani ata kudondosha smartphone haivunjiki...
Tabu inakuja pale kwa ntu nrefu anapo ambiwa na ntu nfupi kua nywele zake zinanukia vizuri...ntu nrefu anashindwa kuelewa ni nywele gani izo?...