Watu washamba mnavyokuja club mnatukera sana

Watu washamba mnavyokuja club mnatukera sana

utamuonaje mtu anakuvizia picha au video kwa siri
Sidhani kama wanafanya kwa siri, Mimi simu yangu huwa natumia kupiga picha kwa matukio maalum tu.

Kuna wapumbavu hata sehemu zinazohitaji kutowa msaada wao wako bize kurecord na kupiga Picha, nilipasuwaga kisimu cha mpumbavu kama huyo hawezi kunisahau.
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
wanakuchoresha
Mtu upo na pozi zako kesho unajikuta tiktok
Infinix na OPPO zimekukosea nini?
ni simu mbovu pamoja na tecno ndo maana hapo zinatengenezwa china ila haziruhusiwi kuuzwa kwenye soko la china labda mtu ununue pengine ndo kaingir nayo china
Umesema kweli.
inaboa sana sio club hata lounge beach tabia hizo zipo
Kwa hizo issue za kijinga kuna siku nilileta fujo sana tipsy masaki
mwenyewe wengi nishawaambia wafute kwa usimamizo
 
Mtu upo na pozi zako kesho unajikuta tiktok

ni simu mbovu pamoja na tecno ndo maana hapo zinatengenezwa china ila haziruhusiwi kuuzwa kwenye soko la china labda mtu ununue pengine ndo kaingir nayo china

inaboa sana sio club hata lounge beach tabia hizo zipo

mwenyewe wengi nishawaambia wafute kwa usimamizo
😁😁
 
Back
Top Bottom