umepokea KIBATI umenunuq simu afu unatamba hapaKutwa na simu zenu za infinix sijui oppo kukaa na kuanza kurecord ovyo
Watu wengine wapo kwenye starehe zao nyie kutwa kurecord sijui muweka status na snapchat
Mnaboa sana
Kutwa na simu zenu za infinix sijui oppo kukaa na kuanza kurecord ovyo
Watu wengine wapo kwenye starehe zao nyie kutwa kurecord sijui muweka status na snapchat
Mnaboa sana
Huyo atakuwa ndege anapanda kwanza muda wa promotionSiyo club tu hata kwenye usafiri unakuta mtu kwenye ndege anapiga picha badala ajipige picha peke yake anakupiga hadi wewe ambae hauhusiki alaf walivyo hawana maana wanapiga picha nyingi ila anachagua moja aliyotoka yeye vizuri hajali wengine mmetokaje ndo anapost
inabidi sasa ufanye umleNusura siku moja nivunje simu ya Pisi kali moja, Baba yake alituliza ghasia
Ilikuwa hivi, nipo zangu kiwanja nimekula kilaji nikaanza kuruka majokanikaona bint mmoja akinirekodi, nikamfuata na kumnyang’anya ile simu!
Washikaji niliokuwa nao wakaungana namimi kuzisaka zile picha wakazikuta snapchat wakafuta, tukamwambia tunavunja kumbe alikuwa na baba yake, na ndugu zake wengine akajitetea alikuwa akimrekodi huyo mzee wake lakini ndani tulipata amerekodi video zetu!
Basi tukataka kuivunja, mzee akatusihi tusivunje tukarestore na kufuta kila kitu ikawa ndio adhabu yake!
Yule mzee nikabadilishana nae namba baada ya lile tukio akutuachia na kilaji kaunta akasepa!
Sasa hivi yule mzee ni rafiki yangu, mara nyingi weekend ilifika kama muda upo hunipigia simu tunaenda kula kilaji!
Ile pisi kali mtoto wa mzee ushamba ushamtoka, na mara kadhaa mimi na yeye tunatoka tunaenda kuruka majoka!
ChaiNusura siku moja nivunje simu ya Pisi kali moja, Baba yake alituliza ghasia[emoji23][emoji23]
Ilikuwa hivi, nipo zangu kiwanja nimekula kilaji nikaanza kuruka majoka[emoji23] nikaona bint mmoja akinirekodi, nikamfuata na kumnyang’anya ile simu!
Washikaji niliokuwa nao wakaungana namimi kuzisaka zile picha wakazikuta snapchat wakafuta, tukamwambia tunavunja kumbe alikuwa na baba yake, na ndugu zake wengine akajitetea alikuwa akimrekodi huyo mzee wake lakini ndani tulipata amerekodi video zetu!
Basi tukataka kuivunja, mzee akatusihi tusivunje tukarestore na kufuta kila kitu ikawa ndio adhabu yake!
Yule mzee nikabadilishana nae namba baada ya lile tukio akutuachia na kilaji kaunta akasepa!
Sasa hivi yule mzee ni rafiki yangu, mara nyingi weekend ilifika kama muda upo hunipigia simu tunaenda kula kilaji!
Ile pisi kali mtoto wa mzee ushamba ushamtoka, na mara kadhaa mimi na yeye tunatoka tunaenda kuruka majoka!
KambaNusura siku moja nivunje simu ya Pisi kali moja, Baba yake alituliza ghasia[emoji23][emoji23]
Ilikuwa hivi, nipo zangu kiwanja nimekula kilaji nikaanza kuruka majoka[emoji23] nikaona bint mmoja akinirekodi, nikamfuata na kumnyang’anya ile simu!
Washikaji niliokuwa nao wakaungana namimi kuzisaka zile picha wakazikuta snapchat wakafuta, tukamwambia tunavunja kumbe alikuwa na baba yake, na ndugu zake wengine akajitetea alikuwa akimrekodi huyo mzee wake lakini ndani tulipata amerekodi video zetu!
Basi tukataka kuivunja, mzee akatusihi tusivunje tukarestore na kufuta kila kitu ikawa ndio adhabu yake!
Yule mzee nikabadilishana nae namba baada ya lile tukio akutuachia na kilaji kaunta akasepa!
Sasa hivi yule mzee ni rafiki yangu, mara nyingi weekend ilifika kama muda upo hunipigia simu tunaenda kula kilaji!
Ile pisi kali mtoto wa mzee ushamba ushamtoka, na mara kadhaa mimi na yeye tunatoka tunaenda kuruka majoka!
Chai
Punguza sukari mkuu,ni club gani hyo na ulikua mwaka gani?SIku npo club Mbeya jamaa kaingia na mtoto wa miaka miwili kambeba huku anacheza nae manyimbo ya Best-naso
Sawa mshamba +KUNA WATU HUWAITA WENZAO WASHAMBA ILA UKIWAFUATILIA VIZURI UNAKUTA WAO NDO WASHAMBA+ USHAMBA NI KUTAKA KUWAAMINISHA WATU KUWA WEWE HUTUMII INFINIX,TECNO,OPPO AU SIMU ZA KICHINA ILA HAPO TUKIKUFUATILIA TUNAKUTA BADO UNATUMIA CMU HIZO HIZO[emoji16][emoji2357]