Pre GE2025 Watu Wasiojulikana: Malisa aelezea tukio la kutekwa kwa Deus Soka na vijana wengine wawili wa CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yajayo yanatisha zaidi, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Don't be foolish, which order..there's no order to abduct innocent people..
Sibishani na wapuuzi your too naive still Bado mtoto mdogo una veshwa pampas (pre mature)
Unajua behind the scenes kutekwa kwa mo_ na Roma mpaka kuja kuonekana
Unajua Ile Dr. mwakyembe Ile kupewa sumu na kuanza kunyonyoka nywele na ngozi ?
Endelea kula bureeee na kugombania DALADALA na mwendokasi na remote control hapo nyumbani kwa shemeji YAKO.
 
Uzuri wake duniani hatutaishi milele,hata wenye mamlaka ipo siku nao watatoweka
 
Duu wee jama Bado kumbe hujaijua polisi vzr nimeshangaa mwana JF kuuliza swali kama hili
Siyo askari wote wanaoruhusiwa kuwa na Rasta.

Na kushangaa wewe unavyonishangaa.
 
Uanaharakati wa hawa wa chadema huwa siuelewi kabisa. Kiufupi, acheni chokochoko tiini Serikali kama wananchi hawatendewi haki wataamka wenyewe siku moja na siyo hizi siasa zenu uchwara
 
..can see stupidity n pet arrogance covered by ignorance! ambia watoto wako hivyo not me!
 
Kama serikali ya CCM inashindwa kuvumilia ushindani wa kisiasa wanao uhuru na uwezo wa kimabavu wa kufuta vyama vya siasa sasa wanasubiri nini? Au wanafurahi kuendelea kuchafuka mbele ya uso wa kimataifa?
 
..can see stupidity n pet arrogance covered by ignorance! there's nothing can tell here.ambia watoto wako hivyo not me!
HOLY SHIT!
IS JUST LIKE..YOUR BECOME UBER DRIVER & YOU DROP OFF A DUDE AT YOUR GIRLFRIEND'S HOUSE.
 
Msimutete mama Samia kwa mauaji yanayoendelea nchini.Haya mauaji yanaratibiwa na kikosi maalumu cha jeshi la polisi ambapo mbiwe kawataje hadharan
 
Taarifa ya Hilda Newton kureport testimony ya Dkt Slaa kuwa upo mkakati thabiti wa kukatisha maisha ya kiongozi wa BAVICHA aitwaye Soka

Hii ni baada ya kijana huyo kutoweka baada ya kupigiwa simu afike kituo cha polisi kufuata pikipiki yake.

Baada ya hapo, hajaonekana tena hadi sasa.

Maelezo haya, yanatosha kabisa kumuwajibisha IGP kwa kumtoa kazini na kumuwajibisha kisheria.

Maelezo haya, yanakuja baada ya miezi michache iliyopita ambapo kijana SATIVA alitekwa na kwenda kutupwa maporini huko Rukwa. Na alikamatwa na polisi kisha wakafanya jaribio la mauaji. Hakuna aliyechukuliwa hatua hadi sasa.

Na hakuna kauli wala hatua yeyote iliyochukuliwa. Zaidi sana mamlaka ya uteuzi ilimpandisha cheo. Jambo hilo linaashiria kuwa alitumwa ama alifurahisha moyo wa mteuzi wake na kupewa zawadi.

Lakini, jambo moja bila shaka ni kwamba,; taarifa hizi zinazovuja ni kuwa mfumo wa ndani ya nchi haukubaliani na haya madhila wanayofanyiwa wananchi wasio na hatia. Hivyo inaonesha tayari utawala huu umekosa uhalali wa kuungwa mkono kwa asilimia kubwa.

Tufike mahala tuzinduke Watanzania.
Je mpaka wadhuriwe na kuuawa wsngapi ndipo tuamke?

Wapenda haki waliopo ndani ya mfumo wameonesha njia.
 
CCM ndio shida nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…