Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sibishani na wapuuzi your too naive still Bado mtoto mdogo una veshwa pampas (pre mature)Don't be foolish, which order..there's no order to abduct innocent people..
Upo Dunia gani?Askari wanaruhusiwa kuwa na Rasta? Au ni kikosi maalum?
Uzuri wake duniani hatutaishi milele,hata wenye mamlaka ipo siku nao watatowekaLabda walikuwa wanatembea na wake za watu, jamaa wameamua kulipiza. Vijana wanapenda sana mashangazi
Sasa kama walitekwa, hii story umesimuliwa na nani? Maana walio experience hili jambo hawapo.
Halafu suala la ajenda za nchi, usijiweke mbele, subiri mifumo yenyewe iji-set. Jamii yenyewe huwa inajiivisha, na inakuwa tayari kwa mabadiliko. Ndio maana kwa Tanzania, mnataka watu waandamane, kwanza watu wenyewe wanawashangaa. Mnasema sijui katiba mpya, jamii kwa ujumla haijafikia hatua ya kuihitaji as long as serikali haiiwekei makucha jamii hiyo kwa ujumla wake, ukiacha wake wenye akili zilizopiga shoti kama Mdude Nyagali. Hawa lazima wapate mikwaruzo, kwa kuwa wanatembea kwenye eneo lenye umeme mkubwa.
Huko mbeleni watu watatishana ujuwe....Yajayo yanatisha zaidi, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kama huna jibu au hukuelewa swali nyamaza.Upo Dunia gani?
Siyo askari wote wanaoruhusiwa kuwa na Rasta.Duu wee jama Bado kumbe hujaijua polisi vzr nimeshangaa mwana JF kuuliza swali kama hili
Might be true 😀Ni dread sio rasta
rastaman hawezi kuwa polisi never hata kwa kuigiza tu.
Kiburi ni mali ya shetani ila Mungu hukomesha kiburiSio "hukuangaisha", andika hukuhangaisha
..can see stupidity n pet arrogance covered by ignorance! ambia watoto wako hivyo not me!Sibishani na wapuuzi your too naive still Bado mtoto mdogo una veshwa pampas (pre mature)
Unajua behind the scenes kutekwa kwa mo_ na Roma mpaka kuja kuonekana
Unajua Ile Dr. mwakyembe Ile kupewa sumu na kuanza kunyonyoka nywele na ngozi ?
Endelea kula bureeee na kugombania DALADALA na mwendokasi na remote control hapo nyumbani kwa shemeji YAKO.
HOLY SHIT!..can see stupidity n pet arrogance covered by ignorance! there's nothing can tell here.ambia watoto wako hivyo not me!
Msimutete mama Samia kwa mauaji yanayoendelea nchini.Haya mauaji yanaratibiwa na kikosi maalumu cha jeshi la polisi ambapo mbiwe kawataje hadharanMagufuli ni tofauti na Samia. Magufuli alimiliki yeye mwenyewe binafsi kundi la WASIOJULIKANA. Hawa watekaji wa sasa hivi ni athari zitokanazo na ushenzi alioanzisha Mwendazake na jamii yenyewe ya Watanzania. Utekaji, mauaji ya albino, mauaji ya vikongwe, ubakaji watoto ni vitu vinavyotokana na uozo wa jamii yetu wenyewe wala siyo kazi ya Rais
CCM ndio shida nchi hii.Taarifa ya Hilda Newton kureport testimony ya Dkt Slaa kuwa upo mkakati thabiti wa kukatisha maisha ya kiongozi wa BAVICHA aitwaye Soka
Hii ni baada ya kijana huyo kutoweka baada ya kupigiwa simu afike kituo cha polisi kufuata pikipiki yake.
Baada ya hapo, hajaonekana tena hadi sasa.
Maelezo haya, yanatosha kabisa kumuwajibisha IGP kwa kumtoa kazini na kumuwajibisha kisheria.
Maelezo haya, yanakuja baada ya miezi michache iliyopita ambapo kijana SATIVA alitekwa na kwenda kutupwa maporini huko Rukwa. Na alikamatwa na polisi kisha wakafanya jaribio la mauaji. Hakuna aliyechukuliwa hatua hadi sasa.
Upo ushahidi wa Mkuu wa Operesheni wa Polisi kufanya unyama mkubwa kwa viongozi wa upinzani wiki chache zilizopita. Na hakuna kauli wala hatua yeyote iliyochukuliwa. Zaidi sana mamlaka ya uteuzi ilimpandisha cheo. Jambo hilo linaashiria kuwa alitumwa ama alifurahisha moyo wa mteuzi wake na kupewa zawadi.
Lakini, jambo moja bila shaka ni kwamba,; taarifa hizi zinazovuja ni kuwa mfumo wa ndani ya nchi haukubaliani na haya madhila wanayofanyiwa wananchi wasio na hatia. Hivyo inaonesha tayari utawala huu umekosa uhalali wa kuungwa mkono kwa asilimia kubwa.
Tufike mahala tuzinduke Watanzania.
Je mpaka wadhuriwe na kuuawa wsngapi ndipo tuamke?
Wapenda haki waliopo ndani ya mfumo wameonesha njia.