PLOII
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 1,126
- 849
Happy Wednesday Guys,
Niende kwenye Mada Kwa ufupi (remember this article is full of figures of speech for a purpose)
Nimewaza kwa kina sana tena sana kuhusu hiki kikundi cha Utekaji na Kuua - Tanzania, ni kama Taasisi kwa Sasa hapa Nchini. Hawa jamaa wamekuwa wakiteka watu wasio hodari Katika medani za kivita na wasio na mafunzo yoyote ya kijeshi ni watu tu wa kawaida mfano mzuri mtu kama SHADRACK CHAULA, BEN SAANANE, ALPHONCE MAWAZO, MZEE ALLY KIBAO, SOKA n.k wote Hawa Kuna ambao wamethibitika kufa na wengine bado iwapo kwa Imani yangu najua Soka, Kipanya, Mdude Nyagali hawapo tena Duniani.
Kuna ambao wanaishi kwa makovu ya maumivu na hii sio story ya Kechi Okwuchi "More Than My Scars"
Ni Watanzania walitekwa wakapigwa Leo wanaishi kwenye maumivu makali Sativa na Tundu Lissu utawapa nini Ili wawe na LUGHA nzuri mbele ya Utawala wa Nchi. Wakiwa na Imani Serikali haijafanya vya kutosha kukomesha na kukamatwa kwa wahusika.
Hiki kikundi kisijione wao ni WAMBA sana kupambana na watu ambao hawajawahi kuchinja hata kuku.
Nitoe ushauri: kwa uhodari wao Wana uwezo kabisa wa kumkamata Waziri wa Ulinzi wa Venezuela Vladimir Padrona Lopez na kujipatia 15,000,000$ hizi ni zaidi ya 39,000,000,000.00 (39B) za Kitanzania. Najua kwa kazi ya kuua watu wanyonge hawapati hata 500M zaidi ya kujitafutia Laana na vizazi vyao.
Ni wakati wa kwenda Cabo Delgado na Venezuela watu wapige pesa sio kuua watu ambao wanaweza wakakamatwa hata na Mgambo wa Mtaa wa Kibanda Maiti.
NB: Naomba wanaohusika na utekeji na kuua kuacha mara Moja/haraka Laana ya kumwaga Damu ya mtu haina msamaha na majuto yake ni makubwa.
Nyie wenyewe baada ya miaka kadhaa ni lazima mtakuwa vichaa, mtapata stroke, mtakosa msaada na mtakuwa Wapweke maisha yenu yote. Mtakataliwa hata na Mbwa rafiki zenu zitakuwa ni Nzi na Funza. Kiongozi wenu mkubwa hatakufa kifo Cha kawaida na familia yake itaona aibu kujiita kwa Ubini wake kama ilivyokuwa kwa Bokasa, Nduli Mama, Mobutu, n.k.
Naomba mkae mbali na kuua watu wasio na hatia acheni watu waishi maisha kidogo waliyopangiwa kuishi na Mola wao.
Na Watanzania ni wakati wa kuja pamoja kupambaniana mwenzako anatekwa upo unatoa macho. Kama Watanzania wote wangekuwa na nature ya watu kutoka mkoa wa watu wachungu sidhani kama huu utekaji ungekuwa wa kiholela hivi.
Mtu anatekwa katikati ya nyumba za watu anapiga kelele wabongo wapo tu wamekodoa macho. Nondo Abdul wa ACT- WAZALENDO alitekwa Stand ya mabasi na umati wote ule lakini Nondo hakupata msaada hao ndio wanaume wa Nchi hii.
Nawaza the Conqueror of British Empire, MA, MC, VC, VSO kwa hali ilivyo mbona tungepigwa vibaya sana. Hawa wanaume wanaoshindwa kukabili wahuni wawili wangeweza kuungana na TPDF kupambana na NDULI Mama kweli?
Guys we must be serious tusiwe watu wa kulalamika Gym zipo Kila sehem ndani ya majiji yetu. Mapori kibao ya kula Tizi la maana for self-defense. Tupendane jamani hali ni mbaya pata picha kijana wetu SOKA ni yatima na alikuwa tegemeo kwa bibi yake na alichokuwa anapambania ni Watanzania wote wawe na uhakika wa msosi sio wachache kula Dubai biashara Tanzania lakini mwishowe kaenda kama Bata kwenye mafuriko so sad