johnmashilatu
JF-Expert Member
- Sep 16, 2010
- 841
- 909
Hao ni majambawaz ingekuwa alshabab je. Mimi sisemi.Wangeambiwa bodaboda au wamachinga wanaandamana..............
Mkuu siku nyingine fanya uhakiki kabla ya ku-post ulichoandika.Nimeongea na OCS Igogo muda uunaebda hakuna msaada mwenyekiiti wa mtaa wa Bulale trazo amepigwa risasi SAA 1.45, p mpaka sasa polisi hawaonekani. Ni Nyamagana kata ya buhobgwa
Mkuu, ungeidadavua kidogo tukaielewa. Kwa nini mwenyekiti wa mtaa? Kulikuwa na shughuli gani eneo hilo? Je wauaji wamefahamika? Nn reaction ya wananchi eneo hilo?Nimeongea na OCS Igogo muda uunaebda hakuna msaada mwenyekiiti wa mtaa wa Bulale trazo amepigwa risasi SAA 1.45, p mpaka sasa polisi hawaonekani. Ni Nyamagana kata ya buhobgwa
Wewe mwanaume wa darisalama acha kufanya matukio ya mwanza kama kichaka cha kufichia udhaifu wako.Kanda ya ziwa hasa Mwanza sio sehemu salama tena kwa maisha ya Binadamu.
mwenzio ametoa tu taarifa fupi ya tukio na kuomba msaada wa polisi.wewe unamuuliza maswali kwani kakwambia yeye ni mwandishi wa habari? jaribu kuwa serious.Mkuu, ungeidadavua kidogo tukaielewa. Kwa nini mwenyekiti wa mtaa? Kulikuwa na shughuli gani eneo hilo? Je wauaji wamefahamika? Nn reaction ya wananchi eneo hilo?
Na wewe kuwa serious kufikiri basi. Kama ameshuhudia unadhani anakosa cha kuongeza hapo?mwenzio ametoa tu taarifa fupi ya tukio na kuomba msaada wa polisi.wewe unamuuliza maswali kwani kakwambia yeye ni mwandishi wa habari? jaribu kuwa serious.
Uko eneo la tukio?Nimeongea na OCS Igogo muda uunaebda hakuna msaada mwenyekiiti wa mtaa wa Bulale trazo amepigwa risasi SAA 1.45, p mpaka sasa polisi hawaonekani. Ni Nyamagana kata ya buhobgwa