Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanda ya ziwa hasa Mwanza sio sehemu salama tena kwa maisha ya Binadamu.
Wamemkuta nyumbani kwake? Sheria ya umiliki wa bunduki na matumizi yake wafaa kuangaliwa upya. Ninaamini kuna bunduki zinamlikiwa kihalali lkn zinatumika kiharamu.Wakuu.
Nashukuru kwa msaada. Polisi wamefika lakini wamechelewa. Wameokota maganda mawili ya smg.
Nilipatwa na hofu sana kwani tukio limetokea nyumba ya pili na nilipokuwa.mwenyekiti alphose amefariki kwa kupigwa risasi mbili. Wauaji hawakuchukua chochote.
Amepigiwa wapi? Nauliza mtaa.Nimeongea na OCS Igogo muda uunaebda hakuna msaada mwenyekiiti wa mtaa wa Bulale trazo amepigwa risasi SAA 1.45, p mpaka sasa polisi hawaonekani. Ni Nyamagana kata ya buhobgwa
Wangeambiwa bodaboda au wamachinga wanaandamana..............
Wewe na mwenzio ni wajinga wajinga, kila saa ni mizaha tu. Badilikeni nyieAu CDM
Asante kwa taarifa, naamini wapelelezi wamo humu, watasoma maelezo yako. Hilo la wanasiasa kuhujumu serikali kwa kuuwa watu inabidi ujiandae kulitetea, soon watakujia uwape list ya wahumu amani.serkali iongeze nguvu mwanza na mikoa jirani ktk ulinzi, wapitishe oppression ya kijeshi au timu ya upelelezi.
mikoa hiyo inaweza kua ndio maficho ya makundi ya watu wabaya, maana wabaya hao wanafanya hivyo kwa faida zao binafsi au wanaweza kutumiwa na wanasiasa wasiokua na uzalendo na nchi yetu kwa tamaa zao za madalaka .maana wanaweza kuseti matukio kama hayo ya kutisha mala kwa mala ili wananchi wa maeneo hayo wapoteze imani na serkali yao. hii ni hatari sana.
Mkuu umeambiwa kuwa Polisi wameokota maganda mawili ya SMG nawe unasema kuna bunduki zingine zinamilikiwa kihalali lakini zinatumika kiharamu. Ulisikia wapi kuwa hapa Tanzania mtu binafsi anaruhusiwa kumiliki bunduki aina ya SMG kihalali? Hebu jaribu kusoma na kuelewa mada kabla ya kukurupuka.Wamemkuta nyumbani kwake? Sheria ya umiliki wa bunduki na matumizi yake wafaa kuangaliwa upya. Ninaamini kuna bunduki zinamlikiwa kihalali lkn zinatumika kiharamu.
Tatizo wamiliki hawalazimishwi kutoa hesabu ya risasi wanazotumia. Wakimaliza wanaenda kuchukua nyingine bila kujojiwa, ili mradi asizidi risasi husika kwa mwaka