HardMartin
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 306
- 109
Mtaa kwa akina mimi bado hali n tete...'
Nikiwaomba bia waninipa juisi ya embe waliyoijaza makohozi.
Nikiwaomba bia waninipa juisi ya embe waliyoijaza makohozi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama wakiambiwa Majambazi hawaji, Sasa si bora uwaambie chadema wanaandamana ili waje kqa wakati? Halafu si kweli huwa wanakuja na washawasha, Unataka kusema aliyeuwawa kule arusha kwa bahati mbaya, hata kule zanzibar yalikuwa maji ya kuwashawasha ??Unataka waje na washawasha kwenye tukio LA ujambazi? Hapo ndo umefikia kiwango chako cha kufikiri?
Kweli aisee, usalama wa taifa wamfuatilieHuenda ikawa yeye anaimiliki,anahisi kila mtu ndio kama yeye.
Hivi silaha aliyowahi kupolwa Adamu Malima hotelini kule Morogoro ilikuwa ya aina gani? Je alikuwa sahihi kuimiliki kama raia? ANAEKUMBUKA VIZURI ATUELEZE ILIKUWA NI YA AINA GANI?Kweli aisee, usalama wa taifa wamfuatilie
Sukari?Polisi wa Tanzania kwenye matukio kama hayo ukiwapigia simu ndio unawakimbiza kabisa ni waoga..Ila ungewapigia kuna isuzu carry imebaba jora za vitenge na pempas wangekuja fasta na siku ya pili ungemuona RPC anaongea na waandishi wa habari..
Hivi silaha aliyowahi kupolwa Adamu Malima hotelini kule Morogoro ilikuwa ya aina gani? Je alikuwa sahihi kuimiliki kama raia? ANAEKUMBUKA VIZURI ATUELEZE ILIKUWA NI YA AINA GANI?Kweli aisee, usalama wa taifa wamfuatilie
Itangazwe hali ya tahadhari MWANZA siyo sehemu salama kwa wangeni kuingiaKanda ya ziwa hasa Mwanza sio sehemu salama tena kwa maisha ya Binadamu.
Mkuu askari polisi ni wachache sana ...........Nadhani IGP aanzishe Kanda Maalumu Mwanza.
pia, IGP aimarishe kitengo cha Intelligence Mwanza ,
vile vile, kila Kata /Mtaa iwe na kituo cha POLISI,
pia, POLISI waongezwe.
Pia, Pangua pangua ya OCD na OC-CID ifanyike, pamoja kuhamisha Askari waliokaa kituoni muda
mrefu.
Ikishindikana,
Aombe msaada wa JWTZ.
Mkuu Dr akili.Mashilatu na wananchi kwa ujumla, kwenye dharura kama hiyo kupiga simu kwa OCS peke yake haitoshi. Ulipaswa kuwapigia pia OCD, RPC na IGP at the same time. Kwanza OCS wa kituo kidogo kama cha Igogo huwa hana kikosi cha askari chenye dhana za kutosha za kupambana na majambazi yenye dhana za kivita kama SMG. Humubidi aombe kwa OCD. Halafu anaweza akawa yuko kwenye shughuli yake binafsi nyingine za kibinadamu.
Namba za simu za hao niliowataja zinapaswa kujulikana kwa wananchi wote. Wenyeviti wa kila mtaa anapaswa kuwa nazo na pia zinapaswa kubandikwa kwenye ubao wa matangazo ya ofisi ya kila ofisi ya serikali ya mtaa.
Kila OCD anapaswa kuwa kuwa na standbye 24 hours ya kikosi maalum cha kupigana na majambazi.
Taarifa hizo zinaweza kupelekwa hata kwa njia ya SMS. Kama baada ya nusu saa ikapita baada ya taarifa kupelekwa kwa hao makamanda bila utekelezaji, taarifa itumwe kwa Amiri Jeshi Mkuu kwa hatua za utumbuaji. This is the line of command. Maisha ya watu si ya kuchezewa na ujambazi!
Na wewe kuwa serious kufikiri basi. Kama ameshuhudia unadhani anakosa cha kuongeza hapo?
Buhongwa kama yalivyo maeneo mengine mwanza ni shida. Mtaa hhuu pekee ndani ya mwezi huu hili ni tukio LA NNE. Vibaka na majambazi. Polisi wanawaambia wananchi wajilibde kwa kutumia fimbo na bila weledi. Mmoja akatoa pendekezo kwa wana chi tuzingire kilima ambako wauaji wanasadikiwa kupitia!Tatizo kubwa polisi ni kama wamelea tatizo, ni mpaka SMG iue mtu ndo utaona pilika pilika za kuzunguka kutafuta salaha buhongwa. Wakati kila kukicha kuna matukio ya watu kuvamiwa na vibaka, na wanavunja nyumba zaidi ya 5 kwa usiku mmoja. Yaani wakianza saa 5 hadi saa 9 ndo wanajiondokea. Mara ya kwanza walimvamia mch. Gwajima (mmhhh....???)....baadaye wakamvamia afisa wa PCCB ndo polisi wakashtuka na kuanza kuwafuatilia.
Mkuu ntamaholo.Wana mtaa wamechukua hatua gani? Uhalifu haupo buhongwa pekee, upo maeneo mengi na askari hawawezi fika na kuonekana kila mahali. Kuna wakati wananchi wenyewe kuhusika kwa ulinzi wao wenyewe.
Halafu, hata polisi wawe wengi kiasi gani hata kwa kufikia hiyo ratio ya 1:400, bado uhalifu hauwezi kuisha. Uhalifu dhidi ya binadamu, ulikuwepo na utaendelea kuwepo. Fikiria mifano kwenye nchi kubwa, pamoja na walivyojipanga uhalifu bado unatokea
Maeneo ya bugarika leo usiku(22/5/2016) mida ya saa sita zimesika risasi zikipigwa.....ambacho bado sijajua ni kama lilikuwa ni tukio la ujambazi au ni majibizano kati ya polisi na majambazi.....nikipata taarifa zaidi nitawajulisha.....Buhongwa kama yalivyo maeneo mengine mwanza ni shida. Mtaa hhuu pekee ndani ya mwezi huu hili ni tukio LA NNE. Vibaka na majambazi. Polisi wanawaambia wananchi wajilibde kwa kutumia fimbo na bila weledi. Mmoja akatoa pendekezo kwa wana chi tuzingire kilima ambako wauaji wanasadikiwa kupitia!
Mkuu nawaona waabdishi na maswali ya kukatisha tamaaa juu ya wekedi wao.Tupe update mkuu.
wapo jirani na burundi......Kanda ya ziwa hasa Mwanza sio sehemu salama tena kwa maisha ya Binadamu.