Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua Alphonce Nyinzi M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza

Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua Alphonce Nyinzi M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza

Mkuu wa mkoa wa mwanza john mongella ameahidi kuwa waliofanya mauaji ya mwenyekiti Alphonse na Yale ya msikiti wa mkolani watapatikana wakiwa hai au wamekufa.
Amesema vyombo vya usalama havilali, ili kuhakiisha watu hao wabapatikana wakiwa hai au wamekufa.
Amesema vyombo husika vitang'oa mzizi wa matukio hayo kama njia ya kuhakikidha kuwa mkoa wa Mza unakuwa salama.
Diwani wa buhongwa kaomba polisi wa kata hiyo wapatiwe gari na pia mtaa huu kujengwe kituo cha polisi.
 
Buhongwa kama yalivyo maeneo mengine mwanza ni shida. Mtaa hhuu pekee ndani ya mwezi huu hili ni tukio LA NNE. Vibaka na majambazi. Polisi wanawaambia wananchi wajilibde kwa kutumia fimbo na bila weledi. Mmoja akatoa pendekezo kwa wana chi tuzingire kilima ambako wauaji wanasadikiwa kupitia!
kuna ndugu yupo bulale nineongea naye kasema ni zaidi ya mara 4 ndugu, by way ni mpaka mtu auwawe kwa SMG ndo kila kiongozi ajitojeze na kutoa tamko? Hili tatizo naona tumelea wenyewe, vibaka wanavamia nyumba zaidi ya 5 kwenye mtaa mmoja kwa siku moja na wanaondoka bila hata kuathiriwa? Sasa SMG imeuwa mafuriko ya magari ya kifahari yanakuja kutoa pole? Kwanini gari moja wasiachiwe polisi wa kituo cha buhongwa?
 
Mashilatu na wananchi kwa ujumla, kwenye dharura kama hiyo kupiga simu kwa OCS peke yake haitoshi. Ulipaswa kuwapigia pia OCD, RPC na IGP at the same time. Kwanza OCS wa kituo kidogo kama cha Igogo huwa hana kikosi cha askari chenye dhana za kutosha za kupambana na majambazi yenye dhana za kivita kama SMG. Humubidi aombe kwa OCD. Halafu anaweza akawa yuko kwenye shughuli yake binafsi nyingine za kibinadamu.
Namba za simu za hao niliowataja zinapaswa kujulikana kwa wananchi wote. Wenyeviti wa kila mtaa anapaswa kuwa nazo na pia zinapaswa kubandikwa kwenye ubao wa matangazo ya ofisi ya kila ofisi ya serikali ya mtaa.
Kila OCD anapaswa kuwa kuwa na standbye 24 hours ya kikosi maalum cha kupigana na majambazi.
Taarifa hizo zinaweza kupelekwa hata kwa njia ya SMS. Kama baada ya nusu saa ikapita baada ya taarifa kupelekwa kwa hao makamanda bila utekelezaji, taarifa itumwe kwa Amiri Jeshi Mkuu kwa hatua za utumbuaji. This is the line of command. Maisha ya watu si ya kuchezewa na ujambazi!
Asante Dr. Akili, inaonesha wewe utakuwa mtumishi mwenye ufahamu. Sasa tunaomba uwafikishie kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa kuwa, vibaka wa buhongwa ni hatari kuliko SMG iliouwa mtu jana, yaani watu siku hizi hawapati usingizi. Vibaka wanavinjari usiku na kuvamia watu. Wakati wanasaka hizo silaha haramu, watusaidie kuwapunguza vibaka.
 
Mangatara, serikali haitoi huduma kwa kuzingatia udini, itikadi za kisiasa, ukabila na ubaguzi a aina yoyote

ntamaholo;
Hakuna popote nimesema atii kuwa serekali inatoa huduma kiubaguzi ila twajua wazi kuwa speed hufuatana na chama cha aliyeguswa. Ukiona nguo za kijani kila mtu atawajibika kwa speed ya 4gb. Nguo nyingine ukibahatika kupata kujiwa na baiskeli shukuru
 
Mkuu wa mkoa wa mwanza john mongella ameahidi kuwa waliofanya mauaji ya mwenyekiti Alphonse na Yale ya msikiti wa mkolani watapatikana wakiwa hai au wamekufa.
Amesema vyombo vya usalama havilali, ili kuhakiisha watu hao wabapatikana wakiwa hai au wamekufa.
Amesema vyombo husika vitang'oa mzizi wa matukio hayo kama njia ya kuhakikidha kuwa mkoa wa Mza unakuwa salama.
Diwani wa buhongwa kaomba polisi wa kata hiyo wapatiwe gari na pia mtaa huu kujengwe kituo cha polisi.
kuna ndugu yupo bulale nineongea naye kasema ni zaidi ya mara 4 ndugu, by way ni mpaka mtu auwawe kwa SMG ndo kila kiongozi ajitojeze na kutoa tamko? Hili tatizo naona tumelea wenyewe, vibaka wanavamia nyumba zaidi ya 5 kwenye mtaa mmoja kwa siku moja na wanaondoka bila hata kuathiriwa? Sasa SMG imeuwa mafuriko ya magari ya kifahari yanakuja kutoa pole? Kwanini gari moja wasiachiwe polisi wa kituo cha buhongwa?
Utajiuliza Jana ilikuwa shida kupata gari LA kuokoa maisha lakini Leo kuna msururu wa nagari yanakuja kutoa pole huku wakuu sana wakiahidi kutoa gari ya kusafirisha mwili wa marehemu aluyekosa gari LA kuokoa maisha yake!
 
Asante Dr. Akili, inaonesha wewe utakuwa mtumishi mwenye ufahamu. Sasa tunaomba uwafikishie kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa kuwa, vibaka wa buhongwa ni hatari kuliko SMG iliouwa mtu jana, yaani watu siku hizi hawapati usingizi. Vibaka wanavinjari usiku na kuvamia watu. Wakati wanasaka hizo silaha haramu, watusaidie kuwapunguza vibaka.
Mkuu umenena vyema. Wakati wa wananchi wakiambiwa askari ni wachache, kamati ya ulinzi na usalama inafanya mchezo mbaya kwa kusibfikizwa na zaidi ya askari watano wakati Kata nzima haina idadi hiyo ya askari.
 
ntamaholo;
Hakuna popote nimesema atii kuwa serekali inatoa huduma kiubaguzi ila twajua wazi kuwa speed hufuatana na chama cha aliyeguswa. Ukiona nguo za kijani kila mtu atawajibika kwa speed ya 4gb. Nguo nyingine ukibahatika kupata kujiwa na baiskeli shukuru
Wacha uongo mkuu
 
H
Natafuta kazi DSM huku tunaishi roho juu

Mkuu hakuna walioko salama, tofauti iliyopo ni kwamba huko kwingine hawa jamaa haaajanza kazi zao.
Kuna taarifa za mapambano ya risasi eneo LA bugarika na vifo watu watatu wilayani misungwi yote uusiku wa kuamkia Leo lakini sijaweza kuthibitisha
 
Back
Top Bottom