Mkuu, Ushauri wako wote hauna mashiko ukiondoa ule wa kuimarisha Intelijensia. La muhimu hapa ni kuishirikisha jamii yote katika dhana ya Ulinzi Shirikishi ili taarifa muhimu na sahihi ziweze kuvifikia vyombo kabla, wakati au baada ya tukio. Kwa kutoa taarifa tutaweza kuwa Proactive na kuzuia uhalifu usitokee.Nadhani IGP aanzishe Kanda Maalumu Mwanza.
pia, IGP aimarishe kitengo cha Intelligence Mwanza ,
vile vile, kila Kata /Mtaa iwe na kituo cha POLISI,
pia, POLISI waongezwe.
Pia, Pangua pangua ya OCD na OC-CID ifanyike, pamoja kuhamisha Askari waliokaa kituoni muda
mrefu.
Ikishindikana,
Aombe msaada wa JWTZ.