Watu wasiojulikana wampiga risasi na kumuua Alphonce Nyinzi M/Kiti wa Mtaa wa Bulale mkoani Mwanza

kweli inauma sana, baada ya kifo huwa wanasiasa hutumia hiyo fursa kutafuta umaarufu. Huyo diwani naye nina mashaka naye katika utendaji wake, haiwezekani awe mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa kata halafu vibaka wanavamia mtaa wake kama shamba la bibi. issue ya vibaka ni hatari kuliko SMG.
Note: kutoka buhongwa police hadi bulale ni km 1, hata askari angetembea kwa miguu anaweza kuwahi tukio.
 
Wacha uongo mkuu

ntamaholo;
Kama kuna kitu ninachukia ni kumwita mtu kitu ambacho sicho. Je umenisaidiaje kuniita muongo wakati hujanionesha huo uongo? Kutokujua kitu ni ujinga sio uongo. Huenda siyajui vyema mambo yalivyo, niongoze usinitukane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…