Uchaguzi 2020 Watu wastaarabu walifuata sera

Uchaguzi 2020 Watu wastaarabu walifuata sera

Ndiyo maana wakawaambia watu wenye drones na magari ya matangazo wakajirejiste ili zile drones zinazorekodi mikutano wazipige pini ili zisiweze kuchukua views pana za watu kwenye mikutano na magari ya matangazo kipindi hiki cha kampeni wayapunguze mitaani.

Hawa jamaa wanajua hawana radhi ya umma kwa hiyo wanatumia njia za mapinduzi ya kijeshi kulinda utawala wao.
Si mngewahi kuzisajili?
 
Wamepanick wakaishia kuwafukuza TBC. Na lile lilikua kosa watakalojutia sana
 
Ungeona tbc walichokuwa wanafanya ungebadil chanel si kwa yale bora walivyowatoa
Kosa halisahihishwi na kosa, kitendo cha chama kinachoomba kushika dola kuwafukuza wanahabari kwa style Ile kimewashusha thamani na kuifanya jamii kuwaona kama viongozi wenye umakini mdogo sana na viongozi wanaofanya kazi kwa visasi na kuligawa taifa
 
Sera ukamuuzie nani wakati unaotegemea kufanya nao kazi kama ukishinda wanaenguliwa kihuni?

Au unafikiri Baraza la mawaziri na manaibu waziri na waziri mkuu wanapatikana nje ya wabunge?
Tena hapo nichangamoto sana maana hata akishinda hatapata waziri mkuu wala spika maana hwa mazingira wamejitengenezea mazuri ya kushinda wengi.
 
Kosa halisahihishwi na kosa, kitendo cha chama kinachoomba kushika dola kuwafukuza wanahabari kwa style Ile kimewashusha thamani na kuifanya jamii kuwaona kama viongozi wenye umakini mdogo sana na viongozi wanaofanya kazi kwa visasi na kuligawa taifa
Nini maana ya live mbona pengne hawakat hawawek kamera sehemu moja tupo na online tv now
 
Lissu hakuamini mpaka anafunga mkutano wahudhuriaji wachache!View attachment 1551374
Hii ni mikutano miwili tofauti?
IMG_20200829_073412.jpg
 
Back
Top Bottom