Uchaguzi 2020 Watu wastaarabu walifuata sera

Si mngewahi kuzisajili?
 
Wamepanick wakaishia kuwafukuza TBC. Na lile lilikua kosa watakalojutia sana
 
Ungeona tbc walichokuwa wanafanya ungebadil chanel si kwa yale bora walivyowatoa
Kosa halisahihishwi na kosa, kitendo cha chama kinachoomba kushika dola kuwafukuza wanahabari kwa style Ile kimewashusha thamani na kuifanya jamii kuwaona kama viongozi wenye umakini mdogo sana na viongozi wanaofanya kazi kwa visasi na kuligawa taifa
 
Sera ukamuuzie nani wakati unaotegemea kufanya nao kazi kama ukishinda wanaenguliwa kihuni?

Au unafikiri Baraza la mawaziri na manaibu waziri na waziri mkuu wanapatikana nje ya wabunge?
Tena hapo nichangamoto sana maana hata akishinda hatapata waziri mkuu wala spika maana hwa mazingira wamejitengenezea mazuri ya kushinda wengi.
 
Kosa halisahihishwi na kosa, kitendo cha chama kinachoomba kushika dola kuwafukuza wanahabari kwa style Ile kimewashusha thamani na kuifanya jamii kuwaona kama viongozi wenye umakini mdogo sana na viongozi wanaofanya kazi kwa visasi na kuligawa taifa
Nini maana ya live mbona pengne hawakat hawawek kamera sehemu moja tupo na online tv now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…