Hawakua nayo kama walivyoshindwa kuisoma jangwani yote Magufuli keshayafanya!
Huyo ndiyo Jinga lao kabadili IDKumbe unataka kubisha kishabik unauliza kama ujui alafu unasimamia ujinga wako komaa
Wajinga sana hawa waramba miguuKuligawa taifa, kuna mtu analigawa taifa kama jiwe?
Soooma hiyoooohttps://www.instagram.com/p/CEcuYzupMc9/?igshid=31h3fi40j90mNguvu ya wanachadema iko nyuma ya keyboards, zamani ilikua kura hawapigi ila mikutanoni wanaenda... sasaivi hata mikutanoni hawaendi
Sijui wanamtegea nani awajengee chama[emoji16][emoji16][emoji16]
Hiyo ingewezekana enzi zile za Slaa anaunguruma au wakati ule Lowasa alipohamia Chadema na wanachama wa CCM sio leoSoooma hiyoooohttps://www.instagram.com/p/CEcuYzupMc9/?igshid=31h3fi40j90m
Sent using Jamii Forums mobile app
Isikilize hiyo clip alafu linganisha na leo hii huyo mtu alivyo kuwa zuzuHiyo ingewezekana enzi zile za Slaa anaunguruma au wakati ule Lowasa alipohamia Chadema na wanachama wa CCM sio leo
Sasaivi mtaisoma namba kwelikweli
Mawe ya nini sasa!
Usimsumbue mtu wakati ukweli ngoma haipigwi chumba!Soooma hiyoooohttps://www.instagram.com/p/CEcuYzupMc9/?igshid=31h3fi40j90m
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyomi la mbagala kwa mhindi!Toooba, aliye kupatia hilo bundle leo katufanyia kitu mbaya, siyo kwa mate na mapovu leo jukwaani
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunataka pole pole wa leo!Mmezoea sana kula matapishi yenu, huyo ni pole pole wakati yupo na akili zake zimetimiahttps://www.instagram.com/p/CEcuYzupMc9/?igshid=31h3fi40j90m
Sent using Jamii Forums mobile app
Waleo ni sawa na wewe maana akili zake alisha zikana baada ya kujiunga na ccmTunataka pole pole wa leo!
Tumegeuzwa viazi au kifusiNyomi la mbagala kwa mhindi!View attachment 1551492
Sio ajabu hii kawaida sana hujawahi panda lori!
Ukiambiwa kuwa mmekosa hoja mnaanza kurusha ngumi hewaniMawe ya nini sasa!View attachment 1551484
Nipande lori kwani mimi ni ccm?Sio ajabu hii kawaida sana hujawahi panda lori!
Ziangalie vizuri utupe mrejesho ndio maana ilani haikusomwa!Ukiambiwa kuwa mmekosa hoja mnaanza kurusha ngumi hewaniView attachment 1551525
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona Umeanza kutetemekaUsimsumbue mtu wakati ukweli ngoma haipigwi chumba!
Nitetemeshwe na nini ushindi asubuhi!
#Niyeye[emoji23][emoji23]Kudadadeeeki ndiyo maana mliwatuma ma tbc yenu kwenda kufanya sabotage ya mkutano wa mh Lissu siyo.? View attachment 1551376View attachment 1551377
Sent using Jamii Forums mobile app