kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
2015 mgombea wa uraisi kupitia CHADEMA kwa mwamvuli wa ukawa alishindwa kusoma ilani ya chama akaishia kutoa yake ya kichwani kuwa atamleta Balali marehemu,kumuachia babu seya na kuwatoa masheikh wa uamsho.
Jana kwa mara nyingine watu wastaarabu walikwenda kufuata kusikiliza ilani ya CHADEMA na kusikiliza sera za mgombea uraisi na kujua muelekeo lakini kinyume na matarajio jamaa akaanza kutoa historia ambayo kila mmoja anaijua kiasi kwamba watu wameshaichoka kuisikia ,
Na waliokwenda pale sio kwamba wote ni CHADEMA watu wamekwenda kusikia mropokaji atakuwa na jipya gani.
Kifupi ni kuwa CHADEMA kwa mara nyingine sera na ilani walichopanga kusema tayari Magufuli ameshafanya na anatarajia kufanya makubwa zaidi.
Kilichofuata ni kituko cha chairman kuchanganyikiwa na kufukuzs kila mtu kumuona mchawi kweli damu ya mtu haikuwachi salama.
Wastaraabu wanataka sera sio vioja wala watu hawahitaji maandamano ni dalili za kushindwa mapema hata wahudhuriaji hawakuwa wengi!
Angalizo;
Kampeni na kufikia wapiga kura sio kutafuta wadhamini wala kushangaa mtu anaeishi ulaya ila umeifanyia nini nchi na utaifanyia nini nchi. hakuna blah blah za damu ya wakenya!