Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,828
- 5,969
Kamaa tadiinu tudanu, ila hii familia ya huyu Hon.Judge wote wapo njema
Wewe ndiye unajua kufikiriTenda kivipi?
Sio kwamba walipanga wao?
Kipindi kile Joto la katiba mpyaa kwa kweli...niliposikia kavamiwaa na jamaa hawakuiba kitu nkaonaa hapaa kuna mkono wa mtu!!Binafsi naona kama ni kuridhisha wafiwa tu. Hii kitu ilikuwa na mkono wa siri-kali. Kwahiyo hao ni wafungwa wamekuwa planted kama watuhumiwa.
Hiki ndicho kinachonijia haraka kichwani mwangu
Kuna thread inayohusiana hapa?Walipewa tenda dogo mbona unakuwa (mbu)³
Nyumbani kwao!Ccm bana, hivi wale waliomuua brig. General Imran kombe, walihukumiwa kunyongwa wako wapi?
Nafikiri wewe ndiyo original!Watuhumiwa FAKE hao, huyu IBILISI CCM ni lazima afurushwe madarakani Mwaka huu.
Ndiyo. Unaweza kunyngwa ukazimia tu."Kunyongwa hadi kufa". Je unaweza kunyongwa na usife?
Kwanini huamini? Mvungi aliuawa na vibaka. Walivamia wakampiga alipokuwa najaribu kujitetea. Kutochukuwa kitu siyo sababu ya kuwa siyo vibaka kwani wanaweza kuwa walikurupushwa. Sioni kama dola inaweza kuhusika kwani kulikuwa hakuna sababu yoyote ya kumuua. Katiba kazi ilikuwa inafanywa na watu wengi na siyo marehemu peke yake.Kipindi kile Joto la katiba mpyaa kwa kweli...niliposikia kavamiwaa na jamaa hawakuiba kitu nkaonaa hapaa kuna mkono wa mtu!!
Yaah! Kwahiyo hapa tunapigwa changa la macho tu.Kipindi kile Joto la katiba mpyaa kwa kweli...niliposikia kavamiwaa na jamaa hawakuiba kitu nkaonaa hapaa kuna mkono wa mtu!!