Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

Nakubaliana na wewe. Inaonekana ni wageni. Muuza unga mwenye akili hawezi kujiweka namna hiyo. Hata ukimkuta sehemu ni lazima utamshtukia tu kwa jinsi walivyo.
 
Mtu anafanya biashara kama hiyo anajimwaga mtaani kama vile anafanya biashara halali kweli hawa vijana wanaonekana bado wana ujinga na ushamba mwingi! Apo watatoka jela wakiwa pengine na miaka 50
Kesi za madawa sheria zake sahv si mchzo
Hao walichukulia mambo simposimpo

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
NDIO hawa hawa vijana wanatutombea madem zetu na madem zetu utawasikia fulan yupo smart kichwan hustler si unamchek side mbasha kaanza juz tu dukanla.nguo lakn anapanda tu
Utaambiwa wewe sijui unakwama wapi?
Hahaha mahakamani walikuwepo wasani bongo
Movie sasa sjui walijua wataachiliwa kwa dhamana

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…