Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Wazungu wako mbali sana kuanzia polisi hadi jamii YaoWazungu huwa wanatoa mugshots (picha) za watuhumiwa ila bongo wanaficha eti kwa ajili ya usalama wao
Labda ni woga sababu ya tabia ya kubambikiziana, tunaogopa usije ukaweka picha kibarua kikaota nyasi. Wazungu nasikia wakikosea wanakusafisha na kukulipa fidia.Wazungu huwa wanatoa mugshots (picha) za watuhumiwa ila bongo wanaficha eti kwa ajili ya usalama wao
Wenzetu wanafanya vile ili kuepusha sintofahamu sie jeshi letu 1920 bado kuficha ficha km mtt kaebda jandoWazungu huwa wanatoa mugshots (picha) za watuhumiwa ila bongo wanaficha eti kwa ajili ya usalama wao
Watu wengi wanatembea na matatizo ya afya ya akili bila kujijua ni wagonjwa.Walibakwa kulawitiwa na kuuliwa sijui waliwakosea nini kufikia kuwaumiza hivyo
Ni hatari hali inatisha hakuna aliye salama kabisaWatu wengi wanatembea na matatizo ya afya ya akili bila kujijua ni wagonjwa.
WamekwishaJeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mama na bintiye wakazi wa mkoani humo
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Alchelaus Mutalemwa amewataja watu hao ambao ni Daudi Elias Nyakongo (45), Rajabu Rashidi (45) na Fikiri Steven (45) wote ni wakazi wa Kata ya Mkonze.
Kamanda Mutalemwa amesema kuwa watuhumiwa wanahojiwa na uchunguzi ukikamilika, watafikishwa mahakamani.
Soma Pia: