Watu watatu wakamatwa kwa tuhuma za mauaji ya Mama na Bintiye mkoani Dodoma

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mama na bintiye wakazi wa mkoani humo

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Alchelaus Mutalemwa amewataja watu hao ambao ni Daudi Elias Nyakongo (45), Rajabu Rashidi (45) na Fikiri Steven (45) wote ni wakazi wa Kata ya Mkonze.

Kamanda Mutalemwa amesema kuwa watuhumiwa wanahojiwa na uchunguzi ukikamilika, watafikishwa mahakamani.

Soma Pia:
 
Wazungu huwa wanatoa mugshots (picha) za watuhumiwa ila bongo wanaficha eti kwa ajili ya usalama wao
Wazungu wako mbali sana kuanzia polisi hadi jamii Yao
Huku ukitoa hizo picha watu wanaenda kwenye hitimisho Moja kwa moja na kama kesi ikienda tofauti watu hawataamini kuwa ni kweli
 
Wazungu huwa wanatoa mugshots (picha) za watuhumiwa ila bongo wanaficha eti kwa ajili ya usalama wao
Labda ni woga sababu ya tabia ya kubambikiziana, tunaogopa usije ukaweka picha kibarua kikaota nyasi. Wazungu nasikia wakikosea wanakusafisha na kukulipa fidia.
 
Wazungu huwa wanatoa mugshots (picha) za watuhumiwa ila bongo wanaficha eti kwa ajili ya usalama wao
Wenzetu wanafanya vile ili kuepusha sintofahamu sie jeshi letu 1920 bado kuficha ficha km mtt kaebda jando
 
Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma limethibitisha kuwashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mama na bintiye wakazi wa mkoani humo

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Alchelaus Mutalemwa amewataja watu hao ambao ni Daudi Elias Nyakongo (45), Rajabu Rashidi (45) na Fikiri Steven (45) wote ni wakazi wa Kata ya Mkonze.

Kamanda Mutalemwa amesema kuwa watuhumiwa wanahojiwa na uchunguzi ukikamilika, watafikishwa mahakamani.

Soma Pia:
Wamekwisha
 
Back
Top Bottom