Watu wawili wamefariki dunia kwa ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki

Kuna watu hawajui hawa waendesha pikipiki wakoje barabarani.
 
Watoto wa kihindi hawa msishangae miaka. Mkadhani wagurumaji wenzetu. Hao hata miaka kumi na mbili wanaendesha cha msingi anayeendesha ni kaka na abiria ni mdogo. And not vice versa
 
Daah!
 
Haya tuambie ukweli ni upi.

Aisee kwa michezo wanayofanya hawa madereva wa bodaboda kwenye mabarabara ya mwendokasi siyo sawa.
hao madogo siyo madereva wa bodaboda ni pikipiki yao
watoto wa kariakoo walisimama kwenye red ile green imewaka tu wakapita bad luck mwendokasi alikuwa moto akapita nao
 
hao madogo siyo madereva wa bodaboda ni pikipiki yao
watoto wa kariakoo walisimama kwenye red ile green imewaka tu wakapita bad luck mwendokasi alikuwa moto akapita nao
Niliona video yao,najua sio bodaboda. RIP watoto
 
Huyo dogo dereva wa pikipiki nani aliyempa Leseni akiwa na miaka 17 .
 
Hizi mwendokasi zingeishia jangwani hakuna dunia nzima mwendokasi katikati ya mji huku ni kutaka kuuana tu
 
Upo sahihi sana, basi kuwa mwendokasi maana yake siyo liendeshwe na roboti........mtu huwezi kupita taa nyekundu ukiwa umekanyaga mafuta mithili ya mtu aliyevuta bangi akachanganya na kiroba, ni vizuri huyo dereva wa mwendokasi ahojiwe ilikuwaje akawagonga hao vijana, hakuwaona au vipi?
 
May Their souls rest in piece
 
Kumbe ndio maana bodaboda walio wengi ni watoto waliokimbia shule na kupewa leseni za kubeba abiria?

Sasa nimejua hawa watoto hawana shida bali walezi wao (serikali) ndio tatizo
Bodaboda wengi ni vijana zaidi ya miaka 18. Usituongopee. Hapa bongo miaka 16 bado wanafunzi. Hakuna mzazi ataruhusu mwanaye awe boda boda kwa umri huo. Marehem suka alikua mhindi.
 
Hawa kwa majina yao ni kama watoto wa kihindi waliokuwa kwenye matembezi yao.
 
Wakufe tu, wamezidi papara.
Ukiona pikipiki inaendeshwa na hao viduku Boyz usipande
 
Mwendokasi wamekuwa kama gari moshi! Ila WaTz tuna roho mbaya sana, hatujali utu kabisa, si polisi, si wanasiasa, si wananchi baina yetu wenyewe. Ni unyama na ubabe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…