Kuna kitu serikali inasahau sana .elimu ya matumizi sahihi ya taa za barabarani haswa kwa wapita kwa miguu..watu wengi wakishaona zebra wanahisi Wana haki ya kuvuka muda wowote hata taa hawaangalii..unakuta taa imewaka kijana lijitu linakatiza zebra utafikiri yuko chumbani kwake
Bodaboda wengi ni vijana zaidi ya miaka 18. Usituongopee. Hapa bongo miaka 16 bado wanafunzi. Hakuna mzazi ataruhusu mwanaye awe boda boda kwa umri huo. Marehem suka alikua mhindi.
Mwendokasi wamekuwa kama gari moshi! Ila WaTz tuna roho mbaya sana, hatujali utu kabisa, si polisi, si wanasiasa, si wananchi baina yetu wenyewe. Ni unyama na ubabe tu!