sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipe no za huyu manzi nimfute machozi
Form one hiyo swahili speaker oyaa wauni tukaitwa pale mbele tuchapike kipigo kikaanza viboko vilikuwa vizito, mara paap!! ticha kanituma fimbo nikaenda class kulikuwa hakuna watu wote wapo mstarini nikachukuwa na daftari nikaliweka kama cover ili viboko visipite fresh takoni *****😀😀 kufika pale ndo nakuta wameisha kitambo bado mimi nilipigwa stiki moja yale madaftari yakashuka mpaka mapajani alafu fimbo iliuma kinoma nikahisi yale macover yanakitu nataka kutowa ticha ananiambia wewe yarudishe tu yanaweza kukusaidia😭😭😭 ilikuwa ni kwere pale juu.
form 1 25+Form one hiyo swahili speaker oyaa wauni tukaitwa pale mbele tuchapike kipigo kikaanza viboko vilikuwa vizito, mara paap!! ticha kanituma fimbo nikaenda class kulikuwa hakuna watu wote wapo mstarini nikachukuwa na daftari nikaliweka kama cover ili viboko visipite fresh takoni *****😀😀 kufika pale ndo nakuta wameisha kitambo bado mimi nilipigwa stiki moja yale madaftari yakashuka mpaka mapajani alafu fimbo iliuma kinoma nikahisi yale macover yanakitu nataka kutowa ticha ananiambia wewe yarudishe tu yanaweza kukusaidia😭😭😭 ilikuwa ni kwere pale juu.
Yeah ilikuwa mwaka 1973Ulikua form one ukiwa above 25 yo?
Toa namb ya huyo manzi tumpe pole
Mkuu mbona na wewe kwenye avatar yako machozi yanakutoka ni nini kimekupata? tujuze nasi tukupe pole😁Toa namb ya huyo manzi tumpe pole
Back in 2018 kushuka chini nilikuwa siwezi kuangalia movie yenye scenes za mazishi. .. hiyo siku tumekaa seblen tunaangalia zile tamthiliya zilizokuwa zikirushwa ITV.
😅 😅 kuna mambo yanafurahisha sana...Back in 2018 kushuka chini nilikuwa siwezi kuangalia movie yenye scenes za mazishi. .. hiyo siku tumekaa seblen tunaangalia zile tamthiliya zilizokuwa zikirushwa ITV.
Kikaja kipande cha msiba, raia wanalia hatari… msibani mpaka makaburini.. mdo mdo machozi yakanianza 😂
Mdogo wangu mmoja akaropoka hiiii da D analia 🤣🤣🤣 si ndio watu kunitazama… wee niliangusha kilio moja hiyo 😅😅 mama sasa aah hakawezagi hako kuangalia mov zenye huzuni huzuni 😋
Mimi ndio nazidi kulia… yan nilikuwa mjinga 🤣🤣🤣
Nyingine juzi kati tu hapo 2019.. niliumwa jino 🤣🤣🤣 nimefika hosp naliaa
Kumwa na kulia bado hujaacha cha utundu...Nyingine juzi kati tu hapo 2019.. niliumwa jino 🤣🤣🤣 nimefika hosp naliaa
Ikabidi nipate sindano ya kutuliza maumivu, maana manesi waliona sasa inakuwaje binti mzima hivyo unalia!!
Mimi kuumwa na kulia nimeacha mwaka huu feb.. juzi kati hapo niliumwa na sijalia 🤣 kwahiyo nina uhakika nitakuwa nimeacha.
Wewe mie sipendi kuumwa 🤣Kumwa na kulia bado hujaacha cha utundu...
Na pia sindano za matakoni zinakulizaga hadharani...
Me nunda mwanangu 🤣🤣😅 😅 kuna mambo yanafurahisha sana...
Ila siku hizi unajifanya nunda... wakati bado mchumba tu...