Ulililia wapi?😂😂😂 sikulia hadharani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulililia wapi?😂😂😂 sikulia hadharani
Nilikuwa nalilia ndani 🤦♀️Ulililia wapi?
Pole mwayaNilikuwa nalilia ndani 🤦♀️
Ahsante mkuuPole mwaya
Mate unampenda sana dada yako eeh?Tukio lingine lililonifanya nilie hadharani my Dada alipograduate chuo ..alivyorudi home kwenye kumpokea nilijikuta nalia tu Mimi...loh[emoji1787][emoji1787] ingawa sikua Nimefika 25
Katokea MEMKWA huyu[emoji23]form 1 25+
Mkuu, pole ukiwa unapita hapo jitahidi kumpelekea hata zawadi ndogo kama nguo na hata chakula au hela ya kujikimuMwaka 2014 nilipata breakdown ya gari mlima kitonga, ilikuwa ni mida ya jioni na kwa kuwa pale pana vibaka , nikashauriwa nitafute mwenyeji kwa ajili ya ulinzi . Nilimoata jamaa , kuitwa 'Tizo' akanisaidia usiku kucha na kutwa nzima kwa ulinzi na supports kadhaa , katika story alinisimulia mengi sana , jamaa alikuwa yatima na maisha magumu kupita kiasi na nikagundua 'Tizo ' ni kifupisho cha matatizo, na ndo lilikuwa jina lake halisi.
Baada ya breakdown kuisha niliachana naye na kumpatia stahiki yake , nikamatia nguo kadhaa na viatu kadhaa nikaondoka zangu , nilifanya hivi kwa miaka kadhaa mbele kila nilipokuwa nafasi na kupita eneo hilo maana hakuwa mbali na barabara ,baadaye tukapotezana ,
Nimekuja kumuona mwaka 2020 , baada ya kuanza kupita tena njia hiyo , kumuangalia vizuri hana mkono wa kulia , yani umekatika kwenye bega kabisa , namuuliza Tizo mkono umefanyaje tena akaniambia alianguka kwenye lori wakati anauza mahindi ya kuchoma ,akateleza na kukanyagwa na tairi , mkono, ulikuwa wa kupona ila hakukuwa na pesa ya matibabu hadi ulipoanza kuoza ndo ukakatwa.
Nilishindwa kujizuia kutoa chozi!
Una machozi ya karibu sana.Tukio lingine lililonifanya nilie hadharani my Dada alipograduate chuo ..alivyorudi home kwenye kumpokea nilijikuta nalia tu Mimi...loh🤣🤣 ingawa sikua Nimefika 25
Saanaa mateMate unampenda sana dada yako eeh?