Watu wazima 25+: Ukiachana na kufiwa, ni TUKIO gani kubwa liliwahi kukutoa machozi hadharani 😭

Tukio lingine lililonifanya nilie hadharani my Dada alipograduate chuo ..alivyorudi home kwenye kumpokea nilijikuta nalia tu Mimi...loh[emoji1787][emoji1787] ingawa sikua Nimefika 25
Mate unampenda sana dada yako eeh?
 
Kuna mambo nlipanga maishani hayakutimia kwa wakati, nililia usku kuchaaa.

Wakat mwngne kulia huwa kunanipa ahueni, lkn swez lia mbele za watu huwa nalia peke yangu chumbani mpk nakaa sawa
 
Aisee nilibaki home mwenyewe nikasema ngoja nipike, nimekata kitunguu aisee machozi yalinitoka nikaacha hiyo biashara.
 
Mkuu, pole ukiwa unapita hapo jitahidi kumpelekea hata zawadi ndogo kama nguo na hata chakula au hela ya kujikimu
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Tukio lingine lililonifanya nilie hadharani my Dada alipograduate chuo ..alivyorudi home kwenye kumpokea nilijikuta nalia tu Mimi...loh🀣🀣 ingawa sikua Nimefika 25
Una machozi ya karibu sana.
 
Mi siku moja nilikua bar sasa wakati naenda toilet nikakutana na jamaa analia kinoma na mimi nikamuungia nikaanza kulia na kumpa ushauri mara nimwambie yataisha tu mara kaza ndio uanaume huo.Nalifikiriaga hilo tukio sijui hata kwa nini nilianza kulia na mimi.Mimi ni matukio mawili tu yameniliza hili na msiba wa mzazi wangu.Kwa sasa na kuendelea sina mpango wa kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…