Watu wazima wanaojitapa kuzaliwa Dar ni mojawapo ya watu wa ovyo sana

Pole ya nini wakati ni wajinga?Vingwendu.
Ni kweli asilimua kubwa wanakuwaga washamba sana sasa msisemwe unakuja dar umetoka mkoani na malboro unashangaa ubungo zamani ile kwa sasa stendi ya magu upo tu halafu unaibiwa kila kitu halafu unakuwa omba omba hadi upate pesa ya kujikimu ndio umtafute uliyemjia hapo umepauka
 
Zamani kitambo kabla ya ukuaji wa uchumi na maendeleo ya teknolojia ya habari, Dar ilikuwa hailingani kabisa kimaendeleo na Mkoa wowote ule wa Tanzania.

Kwa ivo kiukweli kuwa Dar lilikuwa ni jambo la heshima na ufahahri Sana. Kuna watu wakati ule ghorofa kuliona walilionea Dar.

Umaskini wa kwingine iliifanya Dar kuwa kama paradiso Kwa wengine. Na ile ya kuzaliwa Ocean Road ilikuwa kama fahari kwa watu wa Dar wenyewe Kwa wenyewe.
 
Those bastards!Wapo wapi siku hizi?
 
Hata ghorofa la Chalamila na maghotofa ya Mkwawa High school hamkuyaona?Nyee!Kumbi ndauli?🤣🤣🤣🤣
 
Kweli kabisa Mkuu,anajiita wa Dar,Hana future,hajakata shule nk, Wakati hapo Dar ndio msingi wa fursa!Anaoowata wa mikoani ndio wametoboa vibaya mno.
 
Hata ghorofa la Chalamila na maghotofa ya Mkwawa High school hamkuyaona?Nyee!Kumbi ndauli?🤣🤣🤣🤣
Dabaga huko kulikuwa na hayo maghorofa? Watu wa Dar walikuwa wanalipwa mpaka kuingiza magari katikati ya mji kutokea "Ubungo mataa" maana hata "Traffic Lights" mikoani hazikuwepo.

Zama hizo wa mikoani walikuwa wa mikoani kweli kweli!
 
Dar ndio kila kitu hata ukiandika kwenye CV kuwa umezaliwa Dar ni added advantage compared to mtu aliezaliwa Ushirombo. Sio kila mtu anapata chance adhimu ya kuzaliwa Dar only kwa wachache na wenye bahati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…