Watu wazuiwa kumuona Freeman Mbowe gereza la Ukonga, Magereza wadai kupokea maelekezo

Historia duniani inaonyesha kuwa mamlaka zote zinazofanyaga persecution dhidi ya kundi fulani la watu, kabila, chama... mwisho wa siku hao wanaofanyiwa persecution huja kushinda na kufanikiwa Sana;
1. Makaburu dhidi ya wazawa wa Africa kusini
2. Mataifa dhidi ya wayahudi( mf. farao dhidi ya wayahudi)
3. Wakoloni dhidi ya wapigania uhuru
4. Vyama tawala dhidi ya vyama vya upinzani
5. Mama wa kambo dhidi ya watoto wa kambo

Hivyo.. this is law of nature, inabidi hawa watawala wayafanye haya, ili iwe chukizo kwa Mwenyezi Mungu. Ili Mungu mwenyewe aamue kuwakomboa watu wake kwa mkono wa chuma. Hivyo tupo kwenye process tu. The end is near
 
Waacheni wananchi WAPIGE kura na waacheni WAO ndio wachague.
Mbona mwatumia mabavu yote hayo kama SA ya makaburu kuwasemea wananchi ambao ndio haswa wenye nchi.
-Sera ya majimbo iko VIZURI kwingi tu duniani, ikiwamo America, Ulaya, Asia kwa zaidi ya miaka mia, ambapo po mifano mizuri ya kujivunia. Ethiopia wana matatizo na wana visasi vya tangu enzi za Malikia Sheba karibu milenia mbili zilizopita. Tatizo kubwa lililopo kwenye mfumo wowote, popote duniani ni utoaji wa utawala bora unapokosekana.
-Hakuna popote mwananchi mwenye akili timamu anaitaka katiba hii inayowezesha kuunda miunguwatu wenye mamlaka maguvu ya kumfanya lolote na hata kudhuru watz kama North Korea. Mtu anabambikiwa kesi ya uhujumu uchumi halafu akilipa mihela kesi inakwisha kama hana anabaki kifungoni
-Wewe unaeshabikia kuikataa Katiba mpya inayoweza kutukomboa watz kutoka udhalimu huo na kutupa mifumopamoja na kusimamia utawala bora, demokrasia na haki; kweli watia shaka unalinda maslahi ya nani.
AMEN
 
Daaah, so sad aisee
 
Huyu pepo anayeficha mapembe kwenye ushungi siku zake za mwisho ziko karibu
 
Mama nilikupenda sana ila kwa haya machache yanayotokea RIP mama
 
Wwe huyo Gaidi wako anashutuma nyingi sana! Hata Chacha Wangwe kuna mkono wake! 2008 Wakurya wangemuua akaokolewa na polisi!
Hivi gaidi ni nani kati wauaji na huyu mpigania haki wee kimburu?
 
Wanachokitaka vyombo vya ulinzi na usalama ipo siku watakutanana nacho!
Kwa sasa wanakuja kishari shari sema watu bado ni waoga sana!
Nyakati zinakuja wananchi watachoka na mambo yatawabadilikia!
Tuendako pengine tukashuhudia zaidi ya yale ya Arab_spring yakijitokeza!
 
Lifilie kwa mbali liushungi na uzao wake limfuate jiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…