Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

Inasemekana kule tayari wanayo Chanjo Mkuu
 
Tatizo kwenye historia fupi ya marehemu. Kigugumizi chake ndio utajua kuwa UKIMWI kwanini unaheshimika. Kona kona kibao
Kwa kwwl[emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Yes mtu akiwa na ukimwi akatumia Dawa Pre Exposure Drugs Vizur anapunguza chance ya kumuambukiza mwimgine
 
Kwamba mwanamke asiye na virusi akifanya taratibu bila michubuko na mwanaume mwenye virusi hawezi kuambukizwa.
Nop ,maambukizi ya ukimwi hayategemei Mchubuko kama key factor Shida ni kugusa fluids
 
Salama hyo Hamaanishi Kwamba Hili usipate ukimwi ,anamaanisha kwamba Majimaji Yakiwepo Utaweza skia Raha(bila ya Maji maji huwez skia raha) kuna tezi zinaitwa bartholins ndo zinazozalisha ,pia majimaji yanapunguza kumchubua Na pia asiumie
 
Salama hyo Hamaanishi Kwamba Hili usipate ukimwi ,anamaanisha kwamba Majimaji Yakiwepo Utaweza skia Raha(bila ya Maji maji huwez skia raha) kuna tezi zinaitwa bartholins ndo zinazozalisha ,pia majimaji yanapunguza kumchubua Na pia asiumie
 
"Inapunguza utaam"
Nina 32 hata nikipata ngoma poa tu.
Maisha yenyewe mafupi.
Usipokufa na ukimwi utakufa kwa malaria,ajali,kuuawa,kisukari,typhod,TB n.k
Basi tafuta mmoja mpime akikisha ni mzma Uishi Nae ,unaweza sema hvyo Halafu ukaupata ukimwi na Usife Mapema ,then Kuja kutafuta mwanamke kama ni mwanaume ambaye atakubali kuishi na ww na una ukimwi Sahau Au utapata kwa tabu sana
 
Hayo majimaji ndo Vaginal Fluids mkuu ,umesoma Wap unachosema mkuu
 
Ndo maana tukasema Kuna case chache mtu anaweza akashindwa kupata Ukimwi kulingana na mabadiliko ya vipokezi Vyake vya ukimwi kubadilika
 
Kwamba Kinga ya mwili inazuia ukimwi? Unaongea kwa experience !!ukimwi maana yake ni Upungufu wa kinga Mwilini halafu Kinga Izuie?acha kujibu maswal kwa mazoea Mzee ,Your totally Wrong
 
Hii Ni article moja Sawa na ndio kitu nlikuwa nasema kwamba wengi hawajui Wacha nicopy Then Usome

Only certain body fluids from a person who has HIV can transmit HIV. These fluids include

blood,semen (cum),pre-seminal fluid (pre-cum),rectal fluids,vaginal fluids, and breast milk.

From Vaginal Sex?

Yes, and either partner can get it!

Women can get HIV through the tissue that lines their vagina and cervix. The virus can get into men through the opening of their penis or through a small cut or sore on it. Women are at higher risk if they are the one being penetrated.

Tafsiri !!hope tutakuwa tumeelewana ?anakwambia Through The opening Of their Penis ,Kwa hyo kama mwanamke anayokwenye vaginal fluids Maana yake zinapita kwenye penis mkuu.
 
wewe nenda kasome umalize shule ndo uje uanzishe uzi wako wa HIV. uzi uko na lack of stastical details ambazo zita-justify madai yako.

sikatai kuwepo kwa ukimwi na vimbwaanga vyake vya namna ya kuupata ila unajitetea sana kwenye thread yako unajua kwanini??

Uzi wako uko mwepesi sana kwa fani uliyopo NILITARAJIA KITU ZAIDI YA HAPO ..yani vyote ulivyoandika navijua na siko kwenye sekta ya afya .JUST IMAGINE.

KAMALIZE SHULE NDO UJE NA MORE DEEP EXPLANATORY ILI UZI WENYEWE UJI-JUSTIFY.
 
Mm sjataka kuelezea mpaka ma Glycoproteins G120 na G41 hayo atanikikueleza Hayana msingi ,nmejaribu Kuelezea simple concepts za Kuhusu Ukimwi watu Wanachochanganya basi ,Wewe kutokusoma Na kujua maana yake Umeelimika Hila kuna ambao Hawajui Hvyo
 
Mm sjataka kuelezea mpaka ma Glycoproteins G120 na G41 hayo atanikikueleza Hayana msingi ,nmejaribu Kuelezea simple concepts za Kuhusu Ukimwi watu Wanachochanganya basi ,Wewe kutokusoma Na kujua maana yake Umeelimika Hila kuna ambao Hawajui Hvyo
Kijana usiwe mbishi, Komaa na shule. Kama wewe ni mtaalam wa afya na hoja zako ni hizi kuna shida mahala kwenye elimu yako!
 
Nilitegemea ushauri wako uwe ni kuepuka zinaa bila kumumunya maneno!

Hili la kusema:"cheza salama" ndiyo chanzo cha ngono zembe.

Kujamiiana ni tendo la asili, hivyo kujivisha "ndom" ni kuzuia mtiririko halisi wa tendo lenyewe, ndiyo maana watu wanapenda inayoitwa: "kavu" ingawa ni mbichi na ina maji kwa gharama yoyote!

Halafu haujatueleza ni namna gani mtu mwathirika anayetumia ARVS, maambukizi ya virusi toka kwake kwenda kwa "partiner" wake ambaye hana yanakuwaje, uwezekano ni mkubwa, mdogo au haupo?

Elimu hii ni pana sana ingawa inachukua maelezo machache kumuelimisha mtu na kukuelewa vuzuri.

Kama umeamua kulivalia njuga hili somo, basi elimu yake itoe kisayansi na si kwa vitisho kama yalivyo mahubuiri ya baadhi ya dini na madhehebu flani flani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…