Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

Watu wengi hawana uelewa kuhusu UKIMWI

Kama ukimwi ungekuwa unaambukizwa kwa kujamiiana nadhani Leo kusingekuwa na binadamu juu ya aridhi.

Fikiria je umewahi kusikia habari za ukimwi Uingereza,Marekani,ujerumani nk nk.

Hii ni biashara ya wazungu na walichagua kusini mwa jangwa la sahara.(Afrika).
Inasemekana kule tayari wanayo Chanjo Mkuu
 
Tatizo kwenye historia fupi ya marehemu. Kigugumizi chake ndio utajua kuwa UKIMWI kwanini unaheshimika. Kona kona kibao
Kwa kwwl[emoji16][emoji1787][emoji1787]
 
Ila kama muathirika anakunywa dawa zake na anakula vizuri, kuna uwezekano asimwambukize anae lala nae. Ngono nzembe isifanyike hata kama una mpenzi mmoja.

Nafikiri sio tu hawana uelewa bali hata hela za kununulia vifanyio hawana na sometimes vifanyio havipatikani madukani
Yes mtu akiwa na ukimwi akatumia Dawa Pre Exposure Drugs Vizur anapunguza chance ya kumuambukiza mwimgine
 
Kwamba mwanamke asiye na virusi akifanya taratibu bila michubuko na mwanaume mwenye virusi hawezi kuambukizwa.
Nop ,maambukizi ya ukimwi hayategemei Mchubuko kama key factor Shida ni kugusa fluids
 
Duh!! Mbona nyinyi wataalamu mnatuchanganya Sasa..... wengine wanatuambia tupige foreplay ili kuleta maji maji ukeni kwa ajili penzi salama..... wengine mnatuambia kuwa vinapita kwa njia ya mkojo mbona mnatuchanganya Sasa.......yaani kila mtaalamu anakuja na yake....
Salama hyo Hamaanishi Kwamba Hili usipate ukimwi ,anamaanisha kwamba Majimaji Yakiwepo Utaweza skia Raha(bila ya Maji maji huwez skia raha) kuna tezi zinaitwa bartholins ndo zinazozalisha ,pia majimaji yanapunguza kumchubua Na pia asiumie
 
"Inapunguza utaam"
Nina 32 hata nikipata ngoma poa tu.
Maisha yenyewe mafupi.
Usipokufa na ukimwi utakufa kwa malaria,ajali,kuuawa,kisukari,typhod,TB n.k
Basi tafuta mmoja mpime akikisha ni mzma Uishi Nae ,unaweza sema hvyo Halafu ukaupata ukimwi na Usife Mapema ,then Kuja kutafuta mwanamke kama ni mwanaume ambaye atakubali kuishi na ww na una ukimwi Sahau Au utapata kwa tabu sana
 
Mkuu mimi nakushauri ukazane na shule ya Afya kama ulivyosema ni mwanafunzi bado

Hayo maji maji ungetuambia chance yake ya kubeba virus ni asilimia ngapi hapo ungeeleweka

Lakini ulichoandika ni speculations zako tu na hisia, ila ukweli ni kuwa maji maji hayabebi virusi wa HIV, kama ingekua hivo basi dunia nzima tungekua ni waathirika

Pia lingine kama maji maji ama UTE UTE kama ulivyoita wewe unabeba virusi, basi hata mate nayo yanabeba virusi, kitu ambacho sio sahihi
Hayo majimaji ndo Vaginal Fluids mkuu ,umesoma Wap unachosema mkuu
 
Mwanafunzi hujafuzu ww endelea kujifunza km usemayo ni kweli tungekuwa tushamalizika Kwa Ukimwi mm Mwenyewe Kaka angu mkewe anangoma yy hakujua mpaka kilichomjulisha ni afya mgogoro ya mtoto wao WA mwisho Dokta alikuja kumpima huyo mtoto Ukimwi akakutwa kathirika Baada ya kuona kesi haziishi zamaradhi. Kesi ilianzia Hapo wakapimwa wote Mkewe na mtoto wao wameadhirika.

Broo akachukua watoto wawili wengine hawana SASA kwakesi yako km maji yanapuungiza tungeisha wote Kwa Hali hiyo.
Ndo maana tukasema Kuna case chache mtu anaweza akashindwa kupata Ukimwi kulingana na mabadiliko ya vipokezi Vyake vya ukimwi kubadilika
 
Hana utaalam wowote kanjanja tu huyo, kimsingi huu ugonjwa wanaume ndio wenye nafasi kubwa ya kupunguza maambukizi.

Iko hivi, mwanaume mwenye virusi vya ukimwi akitembea kavukavu na mwanamke mzima ambaye hajaathirika akimkojolea hiyo ujuwe imoo lazima mwanamke apate maambukizi, sperm za mwanaume zinaambukiza ngoma wala hakuhitajiki mchubuko.

Lakini mwanaume mzima akitembea na mwanamke muathirika kavukavu na akamkojolea na bado anaweza kutoka salama, kwahiyo utaona hapo issue ya mchubuko inamuhusu mwanaume tu na siyo mwanamke.

Kama kuna kiumbe anatakiwa kujilinda zaidi na kushika bango la condom basi ni mwanamke ndio mwenye risk zaidi ya kuambukizwa na mwanaume.

Mwisho ifahamike si kila binadamu anaweza kuambukizwa ukimwi, inategemea na damu ya mtu na immunity zake, watu hao wanapatikana kwa wingi nchini Gambia.

Nadhani mfano umeuona hata kwenye corona ni virus pia, watu weupe virus zinawasumbuwa sana watu weusi wengi wao wanadunda tu.

Wengi tumeuguwa Corona zaidi ya mara moja na tumepona bila hata kujuwa kama ni corona, hapo issue ni immunity zetu kwa virus wa corona hawana madhara makubwa kwetu na huo ndio ukweli.
Kwamba Kinga ya mwili inazuia ukimwi? Unaongea kwa experience !!ukimwi maana yake ni Upungufu wa kinga Mwilini halafu Kinga Izuie?acha kujibu maswal kwa mazoea Mzee ,Your totally Wrong
 
Hana utaalam wowote kanjanja tu huyo, kimsingi huu ugonjwa wanaume ndio wenye nafasi kubwa ya kupunguza maambukizi.

Iko hivi, mwanaume mwenye virusi vya ukimwi akitembea kavukavu na mwanamke mzima ambaye hajaathirika akimkojolea hiyo ujuwe imoo lazima mwanamke apate maambukizi, sperm za mwanaume zinaambukiza ngoma wala hakuhitajiki mchubuko.

Lakini mwanaume mzima akitembea na mwanamke muathirika kavukavu na akamkojolea na bado anaweza kutoka salama, kwahiyo utaona hapo issue ya mchubuko inamuhusu mwanaume tu na siyo mwanamke.

Kama kuna kiumbe anatakiwa kujilinda zaidi na kushika bango la condom basi ni mwanamke ndio mwenye risk zaidi ya kuambukizwa na mwanaume.

Mwisho ifahamike si kila binadamu anaweza kuambukizwa ukimwi, inategemea na damu ya mtu na immunity zake, watu hao wanapatikana kwa wingi nchini Gambia.

Nadhani mfano umeuona hata kwenye corona ni virus pia, watu weupe virus zinawasumbuwa sana watu weusi wengi wao wanadunda tu.

Wengi tumeuguwa Corona zaidi ya mara moja na tumepona bila hata kujuwa kama ni corona, hapo issue ni immunity zetu kwa virus wa corona hawana madhara makubwa kwetu na huo ndio ukweli.
Hii Ni article moja Sawa na ndio kitu nlikuwa nasema kwamba wengi hawajui Wacha nicopy Then Usome

Only certain body fluids from a person who has HIV can transmit HIV. These fluids include

blood,semen (cum),pre-seminal fluid (pre-cum),rectal fluids,vaginal fluids, and breast milk.

From Vaginal Sex?

Yes, and either partner can get it!

Women can get HIV through the tissue that lines their vagina and cervix. The virus can get into men through the opening of their penis or through a small cut or sore on it. Women are at higher risk if they are the one being penetrated.

Tafsiri !!hope tutakuwa tumeelewana ?anakwambia Through The opening Of their Penis ,Kwa hyo kama mwanamke anayokwenye vaginal fluids Maana yake zinapita kwenye penis mkuu.
 
wewe nenda kasome umalize shule ndo uje uanzishe uzi wako wa HIV. uzi uko na lack of stastical details ambazo zita-justify madai yako.

sikatai kuwepo kwa ukimwi na vimbwaanga vyake vya namna ya kuupata ila unajitetea sana kwenye thread yako unajua kwanini??

Uzi wako uko mwepesi sana kwa fani uliyopo NILITARAJIA KITU ZAIDI YA HAPO ..yani vyote ulivyoandika navijua na siko kwenye sekta ya afya .JUST IMAGINE.

KAMALIZE SHULE NDO UJE NA MORE DEEP EXPLANATORY ILI UZI WENYEWE UJI-JUSTIFY.
 
Mm sjataka kuelezea mpaka ma Glycoproteins G120 na G41 hayo atanikikueleza Hayana msingi ,nmejaribu Kuelezea simple concepts za Kuhusu Ukimwi watu Wanachochanganya basi ,Wewe kutokusoma Na kujua maana yake Umeelimika Hila kuna ambao Hawajui Hvyo
 
Kijana usiwe mbishi, Komaa na shule. Kama wewe ni mtaalam wa afya na hoja zako ni hizi kuna shida mahala kwenye elimu yako!
 
Habari za usiku wanajamii Forums!

Actually Mimi ni mwanafunzi kwenye Field hizi za science kuna kitu Kinaniumiza Moyo Kuwa watu wengi Hawajui kuhusu Ukimwi.

Wengi wanazani Mtu Anapata ukimwi Pale ambapo Akimchubua Muathirika Wakati Anafanya naye Mapenzi, kihivi wengi wanaamini mtu akifanya mapenzi na Muathirika wa ukimwi Taratibu Bila Kuingiza kwa nguvu (bila msuguano mkali)Basi hawez kupata ukimwi .SIO UKWELI

Jamani Virusi vya ukimwi vinakaa kwenye ute ute wa mwanamke(Vaginal fluids) kwa maana hyo Mwanaume akifanya mapenzi na mwanamke ambaye Ameathirika huo ute ute unapita Kwnye Mfereji wa mwanaume (male urethra) unaingia Then itapelekea na yeye kupata Ukimwi hata kama hakuna mchubuko Wowote.Hii kitu Watu wanachukulia poa sana.

Sio kwamba hukifanya polepole bila kumchubua ndo Hutapata ukimwi ni kwamba uliefanya naye hakuwa na Ukimwi.

Kama anaukimwi na ni ukweli hujapata baada ya kupima its Happens japo mara chache sana vipokezi (receptors )za ukimwi ziitwazo CCR5 zimepata mabadiliko (mutation) hivyo zinashindwa kusababisha ugonjwa ambapo hata ufanye mapenzi Na watu kumi wenye maradhi kwa pamoja Huwezi Kupata ukimwi, na watu ambao mabadiliko hayo uwapata ni asilimia kidogo ya watu kwa dunia nzima.

KUWA MAKINI UKIMWI NI MBAYA !!PITA WODI ZA WAGONJWA WA UKIMWI UTAELEWA. CHEZA SALAMA. USE PROTECTIONS

Maestro de Quimica !!OP
View attachment 2162314
Nilitegemea ushauri wako uwe ni kuepuka zinaa bila kumumunya maneno!

Hili la kusema:"cheza salama" ndiyo chanzo cha ngono zembe.

Kujamiiana ni tendo la asili, hivyo kujivisha "ndom" ni kuzuia mtiririko halisi wa tendo lenyewe, ndiyo maana watu wanapenda inayoitwa: "kavu" ingawa ni mbichi na ina maji kwa gharama yoyote!

Halafu haujatueleza ni namna gani mtu mwathirika anayetumia ARVS, maambukizi ya virusi toka kwake kwenda kwa "partiner" wake ambaye hana yanakuwaje, uwezekano ni mkubwa, mdogo au haupo?

Elimu hii ni pana sana ingawa inachukua maelezo machache kumuelimisha mtu na kukuelewa vuzuri.

Kama umeamua kulivalia njuga hili somo, basi elimu yake itoe kisayansi na si kwa vitisho kama yalivyo mahubuiri ya baadhi ya dini na madhehebu flani flani.
 
Back
Top Bottom