Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Tunapoomba kwanza kabisa ni kumrudishia Mungu sifa na utukufu maana vina yeye peke yake, then ni kushukuru (Unamshukuru Mungu kwa mambo mbali mbali anayokufanyia maishani, uhai, afya, zawadi ya wazazi, watoto, kipato n.k), halafu tunaomba toba pale tulipokwenda kinyume na mapenzi yake, then unamweleza maombi yako kama unayo lakini, but kama huna cha kuomuomba unamshukuru tena kwa kusikiliza shukrani zako na msamaha then unasepaKwani lazima kila siku tuombe? Wakati mwingine ni muhimu kushukuru, sisemei tu kwa "baba yetu aliye mbinguni". Hata kwa wale wanoishi na wazazi/ndugu, jifunze kushukuru sio kila saa unaomba tu, watakukinahi (japo sijui kama Baba yetu huwa anachoka kusikiliza maombi)
Tunapoomba kwanza kabisa ni kumrudishia Mungu sifa na utukufu maana vina yeye peke yake, then ni kushukuru (Unamshukuru Mungu kwa mambo mbali mbali anayokufanyia maishani, uhai, afya, zawadi ya wazazi, watoto, kipato n.k), halafu tunaomba toba pale tulipokwenda kinyume na mapenzi yake, then unamweleza maombi yako kama unayo lakini, but kama huna cha kuomuomba unamshukuru tena kwa kusikiliza shukrani zako na msamaha then unasepa
Kabla hatujaomba yeye anazijua haja za mioyo yetu!!Lakini sio lazima kila siku tuombe tu, tunaweza kushukuru then kuomba toba na huenda yeye akatupatia vingi tu coz anazijua taabu zetu.
Ilà ram bwana, haya mambo ni myths tu, wewe uñaonaje??
Mungu hapangiwi, anajibu kwa wakati wakeMkuu kama unanizungumza,kuna issue nimekwama na inahitaji pesa,jana usiku imebidi nizungumze na Mungu anifanyie wepesi leo,eti nimempa Mungu deadline. Sasa hapa nilipo sijatulia,siku yenyewe inaelekea kuisha,simu iko full charge sipigiwi,kila nikitafuta watu bila bila. Mkuu ni kweli inabidi kusikilizia,hatupaswi kumpa Mungu deadline
Hapa naona tunaenda sawa mdogo wangu kipenzi!!Kabla hatujaomba yeye anazijua haja za mioyo yetu!!
Unavyosema ni sahihi, kuna wakati tunapaswa kushukuru tuu hata kwa pumzi tuliyonayo!
Sawa kaka yangu kipenziHapa naona tunaenda sawa mdogo wangu kipenzi!!
1.Mungu yupo kwa sababu akili ya binadamu licha ya kufikiri inaongoza bado nayo inaongozwa.
Nimthibitishie nani?