1.Mungu yupo kwa sababu akili ya binadamu licha ya kufikiri inaongoza bado nayo inaongozwa.
Katika kutambua masuala mbalimbali akili ina uwanda na mawanda finye sana kwenye chanzo kwa sababu haina uwezo wa kuelezea chanzo cha vyanzo.
2.Akili haina uwezo wa kutambua kabisa kitu ambacho hakipo "human mind can not deny nothing".Hii ina inamaanisha ukiona kimetajwa tu maana yake kipo.Ingawa inawezekana kuwa na ugumu katika kuelezea uwepo.
Hizo ni baadhi tu ya sababu za kuafiki uwepo wa Mungu.
Quote me this "God has no personality"
Thibitishia kadamnasi yote inayosoma JF.Nimthibitishie nani?
Nahisi hujanielewa namaanisha akili haitamui ambacho hakipo kwa mantiki kuwa kama kitu hakipo maana yake "HAKIPO" hivyo hakuna taashira yoyote ya kiakili juu ya uwepo wake.This is a logical non sequitur. Kwamba akili ya mtu inaongozwa, haioneshi kwamba inaongozwa na Mungu. Hapa umelazimisha.
Ufinyu wa akili ya mtu hauoneshi Mungu yupo. Umelazimisha hoja.
Umesema nikiona kimetajwa, nijue kipo.
Nikitaja kwamba "wewe ni baba mzazi wa baba yako mzazi", kwa kuwa nimeweza kutaja hilo, kutaja kwangu kunakufanya wewe uwe baba mzazi wa baba yako mzazi?
Haijaniuliza sasa...Thibitishia kadamnasi yote inayosoma JF.
Ndiyo ila siyo kila kitu ndiyo maana Mungu alituumbia akili ili kuweza kutatua baadhi ya changamoto tunazokutana nazo.Kwani lazima kila siku tuombe? Wakati mwingine ni muhimu kushukuru, sisemei tu kwa "baba yetu aliye mbinguni". Hata kwa wale wanoishi na wazazi/ndugu, jifunze kushukuru sio kila saa unaomba tu, watakukinahi (japo sijui kama Baba yetu huwa anachoka kusikiliza maombi)
Mkuu jibu lako linahitaji andiko naomba nisome kwanza nitakujibuSawa nimekuelewa toa hitimisho nimeshamuomba Mungu niweke vipi usikivu, naona umetoa lawama tuuuu!
Mathew 6:9-13
Munhu ana upendeleo kulingana na jinsi mtu alivyo mtakatifu. Mungu hawezi kumtumia jambazi kwa kiwango kile kile kama ambavyo anaweza akamtumia Mtumishi wa Mungu. Mimi nimethibitisha kuwa Mungu anapenda kuwatumia zaidi watoto kwa sababu walio wengi hawana maadui na hawana mawazo mabaya juu ya mtu mwingine. Kwa hiyo walio wengi ni watakatifu zadi kiasi kwamba akitumwa kuja kwako kwa nia mbaya au kukudhuru, lazima atakupatia taarifa na chances ni kwamba atarudisha mapigo kwa yule aliyemtuma. Pia kukiwa na habri njema juu ya maadui zako lazima pia atiririke kwa nguvu za Roho Mtakatifu. Hawa viumbe mimi nimewanyooshea mikono naman mahusiano yao yalivyo intimate na MunguNakubaliana na hoja yako lakini Mungu hana upendelelo,siyo kwa watoto tu ila ni kwa yeyote anayekuwa kwenye mpango wake.
Ukimcha Mungu unapata access ya kuwa Mtoto wake.Munhu ana upendeleo kulingana na jinsi mtu alivyo mtakatifu. Mungu hawezi kumtumia jambazi kwa kiwango kile kile kama ambavyo anaweza akamtumia Mtumishi wa Mungu. Mimi nimethibitisha kuwa Mungu anapenda kuwatumia zaidi watoto kwa sababu walio wengi hawana maadui na hawana mawazo mabaya juu ya mtu mwingine. Kwa hiyo walio wengi ni watakatifu zadi kiasi kwamba akitumwa kuja kwako kwa nia mbaya au kukudhuru, lazima atakupatia taarifa na chances ni kwamba atarudisha mapigo kwa yule aliyemtuma. Pia kukiwa na habri njema juu ya maadui zako lazima pia atiririke kwa nguvu za Roho Mtakatifu. Hawa viumbe mimi nimewanyooshea mikono naman mahusiano yao yalivyo intimate na Mungu
Uko sahihi ila watoto niliokuwa naongelea kwa upande wangu, ni watoto wadogo ambao wengine hawajaanza hata kuongea!Ukimcha Mungu unapata access ya kuwa Mtoto wake.
Halafu Kaka unafahamu kuwa "WAKATI NA BAHATI HUWAPATA WAOTE?"..soma kitabu cha Mhubiri..
In one BrethrenUko sahihi ila watoto niliokuwa naongelea kwa upande wangu, ni watoto wadogo ambao wengine hawajaanza hata kuongea!