Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Muda sio mrefu nimetoka julwaa la love connect nimeshtushwa sana kuona watu wanavyowaponda watu ambao wanatafuta wachumba/ wake
Wengine wanatumia mwavuli eti wanafanya utani na masihara kiukweli watu wanatrauma nyingi sana, wana-vidonda kwenye mioyo yao na wamekosa msaada.
Huwezi kuwa mtu ambaye una utimamu wa akili na hisia ukaanza kumshambulia mtu anayetafuta mchumba, rafiki au mke au ukaleta mizaha
Ni kawaida sana ukaja na uzi wako na ghafla mtu/watu kukuporomeshea matusi kwa njia ya indirect kana kwamba anakujua bila sababu yeyote ile ya msingi ni kama anamalizia stress zake na maumivu anayopitia.
Kuna member ukimuona tu ame-comment jua ni ametukana indirect
au ameponda ni nadra sana kumuona yuko positive yeye yupo negative tu
Jamiiforum waangalie namna ya kuliokomboa jukwaa la love connect limeharibiwa sana na watu ambao wana-stress za maisha na wanasumbuliwa na majeraha kwenye mioyo yao na kwa sababu wao wamefeli wanataman kila mtu afeli kama wao
Serekali iangalie hili swala hali inatisha sana watu wana-majeraha makubwa sana kwenye mioyo yao na hawana msaada