Wengi wetu tulikuwa hivi; kulala na kuchanganywa na binamu zetu, lakini sasa hivi tumekuwa watu wazima, hatuzungumzi tena! Kila mtu sasa ana viwango, matajiri wanakwepa simu kutoka kwa ndugu maskini na maskini wana tabia ya kujitenga ili kuokoa kiburi vyao. Sasa tunakutana tu na kuishi kama familia wakati wa msiba na mazishi.
Inasikitisha sana!!!
View attachment 2969214
Wewe nshomile wa bombei or Pemba
Na sherehe mfano harusi na send-offSasa tunakutana tu na kuishi kama familia wakati wa msiba na mazishi.
😄😄😄Hata Ugali siku hizi hatukuli pamoja kama zamani
Kila mmoja anajikatia wa kwake ..atajua yeye atakakokwenda kulia..
Mkuu comment yako inafikirisha na kuchekesha lakini ndio uhalisiaHata Ugali siku hizi hatukuli pamoja kama zamani
Kila mmoja anajikatia wa kwake ..atajua yeye atakakokwenda kulia..
Mkuu umeniwahi kuleta hii mada. Ni kila familia inakumbana na hii kitu. Yani siblings wakishaanza kujitegemea ule upendo waliokuwa nao toka udogoni wakikua unapotea.Wengi wetu tulikuwa hivi; kulala na kuchanganywa na binamu zetu, lakini sasa hivi tumekuwa watu wazima, hatuzungumzi tena! Kila mtu sasa ana viwango, matajiri wanakwepa simu kutoka kwa ndugu maskini na maskini wana tabia ya kujitenga ili kuokoa kiburi vyao. Sasa tunakutana tu na kuishi kama familia wakati wa msiba na mazishi.
Inasikitisha sana!!!
View attachment 2969214
Tena wale wa tumbo moja, ndio balaa, nimewahi kutimuliwa na ndugu yangu nyumbani kwake, tena nyumba niliyomsaidia milioni 10 yq kuanzia kujenga! Sikuwahi kuidai! Hapo ndio nilipoamini wahenga waliposema, ndugu ni kufaana sio kufanana!Wengi wetu tulikuwa hivi; kulala na kuchanganywa na binamu zetu, lakini sasa hivi tumekuwa watu wazima, hatuzungumzi tena! Kila mtu sasa ana viwango, matajiri wanakwepa simu kutoka kwa ndugu maskini na maskini wana tabia ya kujitenga ili kuokoa kiburi vyao. Sasa tunakutana tu na kuishi kama familia wakati wa msiba na mazishi.
Inasikitisha sana!!!
View attachment 2969214
Wazee wetu waliwezaje ? ina maana migogoro haikuwapo katika familia 🤔Ili kuondoa migogoro ni heri kila mtu akashika njia yake tu
Na penhine hali hii ya sasa sababu ni waoWazee wetu waliwezaje ? ina maana migogoro haikuwapo katika familia 🤔
Mmh ilikuaje mpaka mkafukuzana.?Tena wale wa tumbo moja, ndio balaa, nimewahi kutimuliwa na ndugu yangu nyumbani kwake, tena nyumba niliyomsaidia milioni 10 yq kuanzia kujenga! Sikuwahi kuidai! Hapo ndio nilipoamini wahenga waliposema, ndugu ni kufaana sio kufanana!
Changamoto za maisha, na malezi sana sana yq kiafrika, swala la umoja wazazi hawalisisitizi sana, anayefanya vzr, anasifiwa, kila za anasemwa vibaya
Duh au waligombana..Mkuu umeniwahi kuleta hii mada. Ni kila familia inakumbana na hii kitu. Yani siblings wakishaanza kujitegemea ule upendo waliokuwa nao toka udogoni wakikua unapotea.
Nimeona sana na kushuhudia katika familia nyingi hata kwa wazungu, waarabu na wahindi.
Kwa mfano kuna familia flani jamaa badala asaidie ndugu zake wa damu wa karibu kwasababu ana uwezo wa kifedha hataki lakini anatoa msaada wa kifedha hadi kwenye charities na inauma zaidi anaenda mbali nakutoa hadi kwenye animals charities kama mijibwa na mipaka ana donate.