Watu wengi wa Dar huwa wanajua huku Mwanza ukiwa na buku unapata ndoo ya samaki

Wakati naishi dar mboga yangu ilikuwa kibua au dagaa mchele.
Nikapangiwa kibarua cha serikali hapa SHIRATI yaani nikinunua sangara mkubwa wa tsh 15K mwenye wastani wa 5kg Hadi 6kg Huwa nakula mwezi mzima.
Bimkubwa alikuja nitembelea nikamnunulia sangara mwenye uzito wa 10kg Kwa 30k, Aisee alishangaa sana na siku hiyo alishinda anamuandaa na kumchoma kwenye mafuta fuko limejaa kama mzigo na kuludi nae dar, Basi Huwa namwambia nataka kuhama huku unasikia Kaa huko huko me niwe nakula samaki.
 

Na wewe huna gari kama sisi wana jamii fórum wengine hadi uishi mkoani kwa mbinde hivyo ![emoji28][emoji28]
 
We upo kiteto-manyara??
 
Wasagie sumu tu wanywe. Alafu waambie wao sio sisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…