Watu wengi wa Dar huwa wanajua huku Mwanza ukiwa na buku unapata ndoo ya samaki

Watu wengi wa Dar huwa wanajua huku Mwanza ukiwa na buku unapata ndoo ya samaki

Hata wakiwafikia wakija huku mashambani wanatoa mimacho wanataka ndoo ya maharage kwa elfu 5. Yaani wakija likizo wanazunguka kuombaomba vyakula wanapakia IST mpaka inatembelea upande kama nyani.
Hahahaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mbona wao wanatumbua kwa kutaka mitumba ya buku , wanasema eti karume mingine wanatupa au wanaikata kusafishia injini za gari. Wavae maharage yao tuone. Mara njoo na mkate wa Barekhesa nani aliwaambia anagawa bure. Twende hivyo hivyo
 
Sass si mnatuaminisha wenyewe kwamba mikoani maisha ni rahisi...🤣🤣🤣
Maisha mikoani bado yanazo chembechembe nyingi za upendo na ujirani mwema sio huko dar ambapo nasikia panyarodi wanafunga mtaa na kucharaza watu halafu hakuna anayepiga walau nduru - wote sio wanawake au wanaume ni kimyaaa. Yan kila mtu anaishi kivyake-vyake.
 
Sio mikoa yote mkuu sehemu zingine huko mikoani watu wanakunja sana roho hakuna cha upendo wala ujirani mwema...ila hapa tulizungumzia muktadha wa kuambiwa ulete samaki...ila cha msingi mnatakiwa kusema ukweli kwamba hali ni ngumu
 
Haya mambo huwa yanashangaza sana. Mimi nilienda Mtwara nikajua nitapata korosho kwa bei ya kutupwa ila niichokutana nacho huko sasa[emoji114][emoji114]
Hata mm asee Mtwara nilifikir ndio hivyo nilichokutana nacho duuh
 
Jamani Sasa mnataka mje mjini mikono mitupu?nyie vipi?watu wenyewe mkifika hamtaki kuondoka,Mara nipeleke kariakoo,Mara nipeleke beach Mara mlimani city,Mara mnataka mkaone flyover zooote na madaraja yote,ili mpige picha muweke Facebook 😁😁😁😁...Basi mje hata na motisha chonde chonde waungwana,uungwana Ni vitendo
 
Hata wakiwafikia wakija huku mashambani wanatoa mimacho wanataka ndoo ya maharage kwa elfu 5. Yaani wakija likizo wanazunguka kuombaomba vyakula wanapakia IST mpaka inatembelea upande kama nyani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
2020 nilienda Mwanza na niliulizia bei hawa wakilo moja watatu elfu kumi na mbili na nusu kilo ya samaki ni sh. Elfu saba wapo watatu ukikaangiwa elfu nane
Sisi tulikuwa na dogo anasoma Mwanza hivo ikawa tunamtumia hela atutumie samaki tukijua angalau itakuwa nafuu ila kuja kupiga hesabu ni karibu sawa na kununua tulipo.
 
Huku kwetu zamani ilikuwa Mmaasai kula samaki ni kituko au tuseme haiwezekani. Lakini kwa sasa tunakula hadi dagaanyama wa baharini kutoka Tanga kwa starehe kabisa.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
2020 nilienda Mwanza na niliulizia bei hawa wakilo moja watatu elfu kumi na mbili na nusu kilo ya samaki ni sh. Elfu saba wapo watatu ukikaangiwa elfu nane
Yawezekana haujui kuandika hizo no. kwa tarakimu, ni ubashiri tu lkn
 
Back
Top Bottom