aisee mkuu nakumbuka wakati wa Obama barabara zilipigwa deki. Ndo Afrika mkuu, viongozi bado wanaishi kifalme sana.Na ndiyo maana hata wageni wakija tunafichwa miuvunguni kama misukule.
Kipindi kile tuliambiwa tuoge na tunyoshe nguo sijui wakati wa ukaguzi walibaini hatukuoga vizuri na nguo hazikunyoka ipasavyoooo......! Mara hii uoge unyoshe mjini hakuna kukanyaga. Sijui hata nchi za binadamu wengine kama sisi Huwa wanafanyiwa hivi.
Imeshindikana kabisa kuwa na route itakayotumiwa na viongozi Serikali ikaona ifunge biashara na kazi za watu siku mbili...!
Kwani hiyo ishu ni maeneo gani mkuu?.Maana nipo zangu Msamvu hapa nataka nipande gari chap nije Kariakoo huko!Na ndiyo maana hata wageni wakija tunafichwa miuvunguni kama misukule.
Kipindi kile tuliambiwa tuoge na tunyoshe nguo sijui wakati wa ukaguzi walibaini hatukuoga vizuri na nguo hazikunyoka ipasavyoooo......! Mara hii uoge unyoshe mjini hakuna kukanyaga. Sijui hata nchi za binadamu wengine kama sisi Huwa wanafanyiwa hivi.
Imeshindikana kabisa kuwa na route itakayotumiwa na viongozi Serikali ikaona ifunge biashara na kazi za watu siku mbili...!
Dar inatufaa sisi watu wa bara la Asian tu,nyinyi wengine kaeni huko kwenye vijiji na mikoa yenu ya asili.Watu wa mikoani, hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ndugu yako wa Dar anapiga chenga kila ukitaka kumtembelea? Ukiachana na chakula na gharama za Maisha, watu wengi wanaishi makazi duni sana hapa jijini.
Kwanza salamu kwako mkuu, wale wana dalisalama watumishi wa umma na wengineo najua imekua wikendi kubwa sana baada ya kupewa siku mbili za mapumziko. Okay twende kwenye hoja.
Mimi ni mpenzi sana wa makazi mazuri, yani kitu kinachochukua sehemu kubwa ya matumizi yangu si mavazi wala starehe ni makazi. Sasa hivi juzi vyuma vilikaza sana, nikasema nitafute nyumba angalau ya Laki 2 mpaka 250k kwa mwezi, bhasi bhana nikaanza kuwacheki madalali.
Dalali wa kwanza tukakutana maeneo ya kimara stop over pale, tukaanza Kwenda kwenye nyumba, panda milima na mabonde, tumefika kwenye nyumba kwanza gari haifiki, nyuma ya nyumba kuna mto sijui mfereji mkubwa, maji ndani hayatoki eti ukilipa utatengenezewa. Vyumba ni vidogo sana, kachoo kamejibana kwa mtu mwenye afya huwezi geuka kwa amani.
Tukaenda nyumba nyingine, aisee nilichoka, wapangaji ni wengi kama hostel Fulani, hilo sio shida sana, tunaingia ndani, eti wanasema chumba sebule jiko, jiko lenyewe ni kwamba pale sebleni wamebandika kasinki ka kunawia mikono na vi tiles kidogo ndo jiko eti, Dar bhana. choo cha chumbani hakina mlango, kwaio kama unaishi na mwenza full kunusishana harufu za chooni.
Kwa wiki nzima nimezunguka na madalali nimejionea mengi, wenye nyumba za dar ni wajanja sana, yani nyumba zinaungwa ungwa tu, inaweza kua kibaraza, wao wakaziba kikatokea chumba. Nilishindwa mwenyewe, nikaona niongee vizuri na mama mwenye nyumba wangu nitulie ninapokaa, najichanga mapema ili nitapohama nihamie sehemu nzuri.
Nilihamia dar rasmi mwaka 2015 niseme tu, dar ukitaka ufurahie kukaa pazuri na sehemu sio mbali na kati kati ya jiji andaa angalau Laki 4 kwa mwezi (kama una famili), ukitaka kitonga, tukutane makabe ndani ndani ambako kama una shughuli za mjini, utachakaa kwenye usafiri.
Napakumbuka sana mkoani, nilikua nakaa nyumba ya laki moja, ina vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko la ndani na la nje. Space kubwa full kujimwaga.
Wenyewe wanasema Karaha za Dar ndio utamu wake.
Vipi experience yako ya makazi hapa dar?
Ni Ukweli kwamba Dsm ina Wakaazi wengi sana ambao wanaishi kwenye makazi duni Sana. Hali hii lakini haipo Dsm tu peke yake Bali ipo kote nchini Tanzania ingawaje kuna tofaufi ndogo ndogo za hapa na pale.Watu wa mikoani, hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ndugu yako wa Dar anapiga chenga kila ukitaka kumtembelea? Ukiachana na chakula na gharama za Maisha, watu wengi wanaishi makazi duni sana hapa jijini.
Kwanza salamu kwako mkuu, wale wana dalisalama watumishi wa umma na wengineo najua imekua wikendi kubwa sana baada ya kupewa siku mbili za mapumziko. Okay twende kwenye hoja.
Mimi ni mpenzi sana wa makazi mazuri, yani kitu kinachochukua sehemu kubwa ya matumizi yangu si mavazi wala starehe ni makazi. Sasa hivi juzi vyuma vilikaza sana, nikasema nitafute nyumba angalau ya Laki 2 mpaka 250k kwa mwezi, bhasi bhana nikaanza kuwacheki madalali.
Dalali wa kwanza tukakutana maeneo ya kimara stop over pale, tukaanza Kwenda kwenye nyumba, panda milima na mabonde, tumefika kwenye nyumba kwanza gari haifiki, nyuma ya nyumba kuna mto sijui mfereji mkubwa, maji ndani hayatoki eti ukilipa utatengenezewa. Vyumba ni vidogo sana, kachoo kamejibana kwa mtu mwenye afya huwezi geuka kwa amani.
Tukaenda nyumba nyingine, aisee nilichoka, wapangaji ni wengi kama hostel Fulani, hilo sio shida sana, tunaingia ndani, eti wanasema chumba sebule jiko, jiko lenyewe ni kwamba pale sebleni wamebandika kasinki ka kunawia mikono na vi tiles kidogo ndo jiko eti, Dar bhana. choo cha chumbani hakina mlango, kwaio kama unaishi na mwenza full kunusishana harufu za chooni.
Kwa wiki nzima nimezunguka na madalali nimejionea mengi, wenye nyumba za dar ni wajanja sana, yani nyumba zinaungwa ungwa tu, inaweza kua kibaraza, wao wakaziba kikatokea chumba. Nilishindwa mwenyewe, nikaona niongee vizuri na mama mwenye nyumba wangu nitulie ninapokaa, najichanga mapema ili nitapohama nihamie sehemu nzuri.
Nilihamia dar rasmi mwaka 2015 niseme tu, dar ukitaka ufurahie kukaa pazuri na sehemu sio mbali na kati kati ya jiji andaa angalau Laki 4 kwa mwezi (kama una famili), ukitaka kitonga, tukutane makabe ndani ndani ambako kama una shughuli za mjini, utachakaa kwenye usafiri.
Napakumbuka sana mkoani, nilikua nakaa nyumba ya laki moja, ina vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko la ndani na la nje. Space kubwa full kujimwaga.
Wenyewe wanasema Karaha za Dar ndio utamu wake.
Vipi experience yako ya makazi hapa dar?
Karibu sana lakini utaishia magomeni Leo na kesho, mjini utaingia kesho kutwa.Kwani hiyo ishu ni maeneo gani mkuu?.Maana nipo zangu Msamvu hapa nataka nipande gari chap nije Kariakoo huko!
hahaha kuingia kwenye mwendokasi unaweza kuvunjwa mkono usipokuwa makini. Mimi kati ya vitu vimenishinda ni kugombea usafiri, yani unaweza heshimu mtu mzima lakini yeye akakupiga kikumbo ubaya ubwela.Dar ni sehemu ya kufanyia utalii wa ndani,, ukitaka kuona maajabu nenda kariakoo ukapande mwendo kasi ...... Wanangu waliitaka mwendo kasi tulishindwa kupanda aisee yaani wanavyogombania utazani nyumbu wa Serengeti wanavyofanya kuhama na kuvuka mto...
Maisha ya watu wa dar wengi wanaunga unga na hawataki kukubali kama hapa imeshindikina niende sehemu nyingine ninaweza kutoka kimaisha bila kero.
Ukiiga watu utakufa mdomo waziNi kweli mkuu, lakini kipato chako kikiwa cha chini ndo hapo sasa karaha na nyumba za ajabu ni halali yako. sema ni sawa tu maisha ni hatua.