Watu wengi wa Dar wanaishi makazi duni sana

Ni Ukweli kwamba Dsm ina Wakaazi wengi sana ambao wanaishi kwenye makazi duni Sana. Hali hii lakini haipo Dsm tu peke yake Bali ipo kote nchini Tanzania ingawaje kuna tofaufi ndogo ndogo za hapa na pale.

Kiini au chanzo cha kuwepo kwa madhila yote haya ni kutokana na Serikali kutokuwajibika ipasavyo kwenye masuala muhimu zaidi ya kutekeleza Miradi ya Mipango-miji. Hakuna kabisa Mipango-miji ndani ya nchi hii ya Tanzania, miji yote kabisa ipo shaghala baghala na vururu vururu Kama mazizi ya ng'ombe. Nyumba nyingi sana zilizopo ndani ya Mkoa wa Dsm hazifikiki kwa barabara, bali zinafikika kwa njia za vichochoroni za watembea kwa miguu ambazo hazina uwezo hata wa kupitisha pikipiki, takribani 70% ya nyumba zote kabisa za Dsm zipo hivyo.
Uzuri au ubora wa kuweza kuwepo kwa Makazi Bora huanzia na hatua muhimu sana za kuwepo kwa Mipango-miji.
mkuu nakubaliana na wewe, lakini niamini mimi mtu anaekaa makazi ya kawaida dar akiwa mkoani kwa kodi ile ile anaweza ishi mahali standard sana, ni vile tu shughuli za utafutaji zinaamua tukae wapi. hebu fikiria mimi laki moja nilikua nakaa nyumba ya vyumba vitatu njombe huko, ila kwa dar, laki moja naweza pata chumba kimoja master, au chumba sebule pembeni ya mji.
 
Watu wa mikoani, hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ndugu yako wa Dar anapiga chenga kila ukitaka kumtembelea? Ukiachana na chakula na gharama za Maisha, watu wengi wanaishi makazi duni sana hapa jijini.

Kwanza salamu kwako mkuu, wale wana dalisalama watumishi wa umma na wengineo najua imekua wikendi kubwa sana baada ya kupewa siku mbili za mapumziko. Okay twende kwenye hoja.

Mimi ni mpenzi sana wa makazi mazuri, yani kitu kinachochukua sehemu kubwa ya matumizi yangu si mavazi wala starehe ni makazi. Sasa hivi juzi vyuma vilikaza sana, nikasema nitafute nyumba angalau ya Laki 2 mpaka 250k kwa mwezi, bhasi bhana nikaanza kuwacheki madalali.

Dalali wa kwanza tukakutana maeneo ya kimara stop over pale, tukaanza Kwenda kwenye nyumba, panda milima na mabonde, tumefika kwenye nyumba kwanza gari haifiki, nyuma ya nyumba kuna mto sijui mfereji mkubwa, maji ndani hayatoki eti ukilipa utatengenezewa. Vyumba ni vidogo sana, kachoo kamejibana kwa mtu mwenye afya huwezi geuka kwa amani.

Tukaenda nyumba nyingine, aisee nilichoka, wapangaji ni wengi kama hostel Fulani, hilo sio shida sana, tunaingia ndani, eti wanasema chumba sebule jiko, jiko lenyewe ni kwamba pale sebleni wamebandika kasinki ka kunawia mikono na vi tiles kidogo ndo jiko eti, Dar bhana. choo cha chumbani hakina mlango, kwaio kama unaishi na mwenza full kunusishana harufu za chooni.

Kwa wiki nzima nimezunguka na madalali nimejionea mengi, wenye nyumba za dar ni wajanja sana, yani nyumba zinaungwa ungwa tu, inaweza kua kibaraza, wao wakaziba kikatokea chumba. Nilishindwa mwenyewe, nikaona niongee vizuri na mama mwenye nyumba wangu nitulie ninapokaa, najichanga mapema ili nitapohama nihamie sehemu nzuri.

Nilihamia dar rasmi mwaka 2015 niseme tu, dar ukitaka ufurahie kukaa pazuri na sehemu sio mbali na kati kati ya jiji andaa angalau Laki 4 kwa mwezi (kama una famili), ukitaka kitonga, tukutane makabe ndani ndani ambako kama una shughuli za mjini, utachakaa kwenye usafiri.

Napakumbuka sana mkoani, nilikua nakaa nyumba ya laki moja, ina vyumba vitatu vya kulala, sebule, jiko la ndani na la nje. Space kubwa full kujimwaga.

Wenyewe wanasema Karaha za Dar ndio utamu wake.

Vipi experience yako ya makazi hapa dar?
miaka kumi bado hujajenga nyumba yako tu?

halafu unaleta ujuaji kwenye nyumba zawatu? na unazibeza kabisa😁😁😁😁😁😁😁😁

akili huna wewe
 
Ukiachana na makabe umewahi paskia msumi? Hio ndio dar.
 
Watu wengi wa Dar wanafosi maisha aise.
Hawana tofauti na mifugo ya mikoani.
Kila kitu kwao taabu...
Kubanana kwenye daladala.
Foleni za ajabu.
Hali ya hewa mbaya.
Msongamano wa watu.
Fujo tu!
 
Screenshot_20250127-110812.jpg
Screenshot_20250127-110754.jpg
Screenshot_20250127-110551.jpg
Screenshot_20250127-110349.jpg
Screenshot_20250127-110507.jpg
Screenshot_20250127-110257.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20250127-110513.jpg
    Screenshot_20250127-110513.jpg
    54 KB · Views: 32
  • Screenshot_20250127-110500.jpg
    Screenshot_20250127-110500.jpg
    99 KB · Views: 34
  • Screenshot_20250127-110449~2.jpg
    Screenshot_20250127-110449~2.jpg
    18.8 KB · Views: 29
  • Screenshot_20250127-110257~2.jpg
    Screenshot_20250127-110257~2.jpg
    19 KB · Views: 37
Nyumba standard ya kijana Dar anayejitafuta atleast uwe na budget ya 400-800k (siongelei chumba)
700k-1.2M kwa mtu mwenye familia, anayetaka kuishi vizuri-middle class ya kati.
Kuanzia 1.5M na kuendelea kwa maeneo kama Mbezi beach-middle class iliyochangamka.
Mikocheni ni hizo bei za 2M na kuendelea, of which very few can afford.

Kwa kipato kidogo Dar utaishi maisha ya mateso sana. Ndo maana Dar ALMOST kila mtu ni mwizi kwa namna anayoijua yeye.
 
miaka kumi bado hujajenga nyumba yako tu?

halafu unaleta ujuaji kwenye nyumba zawatu? na unazibeza kabisa😁😁😁😁😁😁😁😁

akili huna wewe
Kuelezea si kubeza mkuu, mafanikio ya mtu hayapimwi kwenye muda wala kujenga nyumba. mtu yeyote anaeongea bila bias atakueleza hiki nilichokueleza hapa.
 
Nyumba standard ya kijana Dar anayejitafuta atleast uwe na budget ya 400-800k (siongelei chumba)
700k-1.2M kwa mtu mwenye familia, anayetaka kuishi vizuri-middle class ya kati.
Kuanzia 1.5M na kuendelea kwa maeneo kama Mbezi beach-middle class iliyochangamka.
Mikocheni ni hizo bei za 2M na kuendelea, of which very few can afford.

Kwa kipato kidogo Dar utaishi maisha ya mateso sana. Ndo maana Dar ALMOST kila mtu ni mwizi kwa namna anayoijua yeye.
Upo sahihi kabisa, kuna nyumba nzuri sana ukiwa na bajeti nzuri.
 
Watu wa mikoani, hivi ulishawahi kujiuliza kwanini ndugu yako wa Dar anapiga chenga kila ukitaka kumtembelea? Ukiachana na chakula na gharama za Maisha, watu wengi wanaishi makazi duni sana hapa jijini.
Hi kweli nakaa kwa Mtogole ndani kabisa kule mvua zikinyesha usalama mdogo halafu unatembelewa na mgeni utampelekaje
 
Upo sahihi kabisa, kuna nyumba nzuri sana ukiwa na bajeti nzuri.
Dar Unaweza hata kuishi kwenye nyumba ya 2M lakini ukitoka nje unakutana na frem za waucha chips au mkaa na madimbwi kama yote. Viongozi na wananchi we are all selfish.

Mfano: ukienda Mbweni unaona maghorofa mazuri kweli kweli..ila sasa subiri mvua inyeshe! Utachoka. Pia sehemu kama Mbweni ambayo ni new suburb, ungetegemea ukute mipango miji kabambe, sehemu za starehe, shopping, nk....ila ukitoka nje ya mjengo wa Billion unakutana na uchafu kama wote na pilika nyingi za nzengo.

Siasa bongo imeingilia kila kitu.
 
Back
Top Bottom