binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,966
- 47,296
Hapo kanyumba kapya kazurii lazima ulie 😂Hahaha kuna brother mmoja ana nyumba yake kali sana pale njombe, kila akiambiwa bei wanyotaka wapangaji anasema bora iote majani tu.
Hapo kanyumba kapya kazurii lazima ulie 😂Hahaha kuna brother mmoja ana nyumba yake kali sana pale njombe, kila akiambiwa bei wanyotaka wapangaji anasema bora iote majani tu.
Usijali ndugu. Wengine tumekuelewa sana. Baadhi ya binadamu huwa hawapendi kuambiwa ukweli, hasa ukweli mchungu.Kuelezea si kubeza mkuu, mafanikio ya mtu hayapimwi kwenye muda wala kujenga nyumba. mtu yeyote anaeongea bila bias atakueleza hiki nilichokueleza hapa.
Nyumba isipokaliwa na watu kwa muda mrefu inaanza kuharibika.Hapo kanyumba kapya kazurii lazima ulie 😂
Nyumba isipokaliwa na watu kwa muda mrefu huanza kuharibika.Hahaha kuna brother mmoja ana nyumba yake kali sana pale njombe, kila akiambiwa bei wanyotaka wapangaji anasema bora iote majani tu.
Ni kweli ndugu. Kama huna sababu ya msingi ya kukufanya Uhamie Dar, baki hukohuko mkoani.Sisi wa mikoan Tutulize makomwe yetu hizo hekaheka bakini nazo watu wa daslam
Sahihi.Nyumba isipokaliwa na watu kwa muda mrefu inaanza kuharibika.
Bado haujafika unapopataka fika goba kuna apartments zile quick sogea sogea masaki ushuani sio ile masaki ya kule uswahilini madale tegeta hapa katikati hapa mbezi beach mwisho, sasa wewe unaenda kupelekwa mbande sijui kimara mwisho sijui tandale mabibo mwisho unategemea nini? Ila hayo maeneo niliyoyataja usisogeze pua yako na hio 250 yako hio ni ya kununulia kile cha kupangusia miguu kwenye nyumba unayoenda kuonyeshwa upange kwenye hayo maeneo andaa 5+ M huna rudi kwenu Mbeya ukaugue kipindupindu, unataka kitu cha bei ghali na pesa huna we wa wapi laki 2 unajitapa km una million 200 mkononi umekosa apartments zile zote mjini huzioni?Kwa wiki nzima nimezunguka na madalali nimejionea mengi, wenye nyumba za dar ni wajanja sana, yani nyumba zinaungwa ungwa tu, inaweza kua kibaraza, wao wakaziba kikatokea chumba. Nilishindwa mwenyewe, nikaona niongee vizuri na mama mwenye nyumba wangu nitulie ninapokaa, najichanga mapema ili nitapohama nihamie sehemu nzuri.
mikoani ndio kuna makazi mazuri?Kuelezea si kubeza mkuu, mafanikio ya mtu hayapimwi kwenye muda wala kujenga nyumba. mtu yeyote anaeongea bila bias atakueleza hiki nilichokueleza hapa.
Basi rudi ukaishi mkoa kama huna hela ya kujenga ushuani dar, maana 70 percent ya Dar ni uswazi na pamejaa slamsNi kweli mkuu, lakini kipato chako kikiwa cha chini ndo hapo sasa karaha na nyumba za ajabu ni halali yako. sema ni sawa tu maisha ni hatua.
Kujifariji tena kumbe siyo Kweli?Watu wa mikoani kwa kujifariji! Ni kweli mkuu tunaishi makazi duni sana. Heri yenu huko mikoani kwenye makazi bora.