Mm nimeshuhudia wamama kama watano wanalia ndoa ndoa sasa wananifanya nichanganyikiwe kabisa
Kuna mabadiliko makubwa sana hasa kwenye swala la sex.Mfano mke ana mtoto automatic akili inahamia kwa mtoto of course so jambo baya kwa mwanaume muelewa lakini ikiwa too much basi Ni case nyingine.kipindii hiki mwanamke Hana habari kabisa ya ngono lakini ukweli upo pale pale mwanaume bado anawaza ngono kwa kiipindi chote hichoKwanini mkeo akunyime uchi..
Vipi ulifosi ndoa?.ama hakupendi.?
Umeoa?.Kila mtu akifanya majukumu yake ndoa Ni Raha Sana!!
Lakini ukioa mwanaharakati wa haki sawa au ukaolewa na mvulana utajuta.!!
Pale tulioanza maisha ya ndoa mwaka 2011 tunapogongana namna ya kufikiri. Asante kwa msisitizo huo.Asante Kwa mawazo mazuri.Kila siku huwa nasema mtu asitishwe na experience za wengine.Kila ndoa ina utafauti wake wa kipekee ndoa hazifanani jamani.Ndoa X ikivunjika haimanishi ndoa Y nayo itavunjika.
Ingia kwenye ndoa ukijua ndoa yako ni ya kipekee hakuna kama yako.Kama ulivosema kikubwa kwenye ndoa ni UPENDO.Ukimpenda mwenzio hutochepuka,hutomnyima iliyo haki yenu,utamsamehe akikosea na mengine mengi,Kwa sababu upendo uvumilia na hauesabu mabaya.Miaka nane sasa kwenye ndoa sijawai juta.
Changamoto kwenye ndoa zipo na huwezi kuzikwepa. Changamoto zipo kwenye kila aina ya taasisi duniani ikiwemo hii ya ndoa na zitaisha siku ukitoweka duniani. Na hii haimaanishi kuwa huwezi kufurahia maisha. Ukifuatilia chanzo cha kutokuwepo kwa furaha ndani ya ndoa ni visababu vidogo ambavyo huondoka baada ya muda na kilichoshindikana ni kutoa muda wa jambo kupita.Lakini hawataki kusema na kutuambia hizo changamoto zinatokana na nn?
Ukitaka ndoa ya utamaduni wa kizungu utaipata, yaani ile ya kushikana mikono, mabusu kila wakati, kila kitu ndani ya nyumba ni 50-50 (kama mwanamke atakubali), kubembelezwa na mwanaume kuwa emotional na nini na nini..(a fair tale one), zipo, ila huwa zina expire baada ya miezi 3, 6 mpaka mwaka...Tupeni mrejesho kama mna furaha kweli!
Leo ukiangalia ndoa nyingi zimepooza na kufunikwa na wingu zito la mizozo kila kukicha
Ukiwauliza wanandoa wengi husema Mwanzoni mwa ndoa yetu tulipendana kwa dhati,lakini shauku na penzi letu siku hizi imepotea.
Hakuna urafiki mzuri kati yetu kama hapo awali wala hatufurahii kuwa pamoja,hata kucheka inakuwa tatizo pamoja na kulala kitanda kimoja na ushirika wao katika mambo mengi.
Ndoa zingine wana ndoa hawawezi hata kujadili matatizo yao kwa pamoja, mbaya zaidi kufanya mapenzi kwao imekuwa kama wajibu badala ya starehe.
Hii ni hatari maana hakuna mtu kati yao anayejisikia shauku ya mapenzi kwa mwenzi wake.
Ukichunguza sio kwamba kuna mtu anatoka nje ya ndoa hapana utawasikia wanasema ndoa yetu haina upendo.
Matatizo ya ndoa yapo mengi na yanatofautiana ndoa na ndoa,lakini vilio vingi vya ndoa vinafanana.
Nyongeza : Ambao hatujaolewa tunatamani kweli Kuingia kwenye ndoa .
Location: Napita kwa huzuni.
Wanaoona ndoa hazina furaha ni wale ambao hawawezi kutulia na mpenzi mmoja.Tupeni mrejesho kama mna furaha kweli!
Leo ukiangalia ndoa nyingi zimepooza na kufunikwa na wingu zito la mizozo kila kukicha
Ukiwauliza wanandoa wengi husema Mwanzoni mwa ndoa yetu tulipendana kwa dhati,lakini shauku na penzi letu siku hizi imepotea.
Hakuna urafiki mzuri kati yetu kama hapo awali wala hatufurahii kuwa pamoja,hata kucheka inakuwa tatizo pamoja na kulala kitanda kimoja na ushirika wao katika mambo mengi.
Ndoa zingine wana ndoa hawawezi hata kujadili matatizo yao kwa pamoja, mbaya zaidi kufanya mapenzi kwao imekuwa kama wajibu badala ya starehe.
Hii ni hatari maana hakuna mtu kati yao anayejisikia shauku ya mapenzi kwa mwenzi wake.
Ukichunguza sio kwamba kuna mtu anatoka nje ya ndoa hapana utawasikia wanasema ndoa yetu haina upendo.
Matatizo ya ndoa yapo mengi na yanatofautiana ndoa na ndoa,lakini vilio vingi vya ndoa vinafanana.
Nyongeza : Ambao hatujaolewa tunatamani kweli Kuingia kwenye ndoa .
Location: Napita kwa huzuni.
Moral of the story 🤗Tupeni mrejesho kama mna furaha kweli!

Hampendi tukisema tuna furaha kwenye ndoa, watu hupenda kusikia ndoa ya fulani inapitia changamoto.Tatizo wanandoa hawapendi kuzingumza.
Sasa kwanini mazuri mnaficha mabaya mnayatoa? Au amtaki wengine tuingie mfurahie wenyewe tu.?Hampendi tukisema tuna furaha kwenye ndoa, watu hupenda kusikia ndoa ya fulani inapitia changamoto.
Hutasikia mtu akisema lolote kama ndoa haina tatizo, ila yakianza tu matatizo.....
Hujambo Agatha?
Mabaya yanavuma zaidi kuliko mazuri,Sasa kwanini mazuri mnaficha mabaya mnayatoa? Au amtaki wengine tuingie mfurahie wenyewe tu.?
Changamoto kwenye ndoa zipo na huwezi kuzikwepa. Changamoto zipo kwenye kila aina ya taasisi duniani ikiwemo hii ya ndoa na zitaisha siku ukitoweka duniani. Na hii haimaanishi kuwa huwezi kufurahia maisha. Ukifuatilia chanzo cha kutokuwepo kwa furaha ndani ya ndoa ni visababu vidogo ambavyo huondoka baada ya muda na kilichoshindikana ni kutoa muda wa jambo kupita.
Fikiria labda mmojawenu amepunguza kiwango cha kukutana kimwili mwingine ananuna na kuleta hisia tofauti. Je umefikiria na kufuatilia ni kwa nini hali hiyo imetokea ili kupata ufumbuzi.
Au kuna kipindi Mr alikuwa anakuhudumia, anakuletea zawadi mara kwa mara na kukutoa out sasa amepunguza unanuna na kuhisi hakupendi. Je umefikiria vipaumbele vyenu ni nini kwa wakati huo? Kumbuka vipaumbele vya matumizi ya pesa na wakati havifanani katika miaka ya ndoa yenu.
Matarajio yasiyotimizwa ni shida nyingine kwa wanandoa wengi. Watu wengi wanaingia katika ndoa na muundo wa ndoa yao kichwani. Mfano tutaishi maisha mazuri, nyumba nzuri, gari zuri, good sex na tukiwa sita kwa sita mume/mke atakuwa mtamu siku zote, watoto wazuri na watasoma shule nzuri, tutakuwa na biashara au kampuni zetu, nitasafiri kwenda china sijui Uk na vikorokoro vingi visivyokuwa na kichwa wala miguu. Lakini tunasahau kuwa tunaishi duniani na changomoto ni nyingi zinafanya baadhi ya matarajio yetu yasifikiwe.
Hivi tunafikiria tukikosa nyumba nzuri, gari au kazi maisha ya ndoa yatakuwaje? Vipi kama mume/mke asipoondelea kuwa mtamu kama mwanzo ndio itakuwa mwanzo wa huzuni na sononeko ndani ya moyo? Vipi mmojawenu akipata chongo bado mtabaki na upendo kama mwanzo? Vipi mke akianza kuwa na manyonyo badala ya chuchu saa sita alizokuwa nazo mlipoanza uhusiano? Vipi tumbo lake likianza kuwa na michirizi na kuongezeka baada ya kukuzalia watoto wazuri bado utampenda? Itakuwaje msipopata mtoto? Vipi siku mumeo sixpark zikiondoka baada ya kuwa busy na majukumu ya kutafuta ada za watoto na kukosa mda wa mazoezi utaanza kumbeza na kumuona anautapiamlo? Itakuwaje msipokuwa na biashara wala kampuni lakini maisha yanaenda? Au mume, itakuwaje ukigundua mke uliyeoa hana uwezo wa kupambanua mambo kama ulivyomzania? Utamsaidia au ndio utampata kila aina ya tusi kuonyesha ujinga wake?
Kuna mengi yanayoondoa furaha ya ndoa endapo mkiyapa kipaumbele kuwa msipoyapata basi ndoa inakuwa imevurugwa. Na kuna wakati sisi wote ni chanzo cha matokeo mabaya ndani ya ndoa hivyo tunawajibika kwa mmoja na mwenzie. Lakini kuna wakati tujifunze kukubali matokeo hata kama hatufurahishwi nayo. Na mwisho wa siku katika ndoa yanayofurahisha ni mengi kuliko yanayokera hivyo hayo mazuri ndiyo tuyape kipaumbele ili kuendeleza furaha yetu. Achana na kushapalia makosa au mapungufu madomadogo yatakayokuvuruga. Na tukumbuke sisi wote si malaika.
Ukitaka ndoa ya utamaduni wa kizungu utaipata, yaani ile ya kushikana mikono, mabusu kila wakati, kila kitu ndani ya nyumba ni 50-50 (kama mwanamke atakubali), kubembelezwa na mwanaume kuwa emotional na nini na nini..(a fair tale one), zipo, ila huwa zina expire baada ya miezi 3, 6 mpaka mwaka...
Ila ukitaka ile ya utamadini wa Kitanzania, yaani ya makubaliano, majukumu pande zote 2, kwamba mwanaume ndio kiongozi wa nyumba, kwamba wewe mwanamke jukumu lako ni kwa mwanaume kwanza, halafu watoto, na kwamba final say iko mwanaume basi ndoa yaweza dumu miaka na miaka mpaka kifo kwaachanishe, hii ndoa ya Kitanzania furaha siyo swala muhimu, muhimu ni heshima na kila mwanadoa ajuwe nafasi yake, hii ndoa ya ki Tanzania kama ya mababu na mabibi zetu ndiyo ilikuwa nguzo kuu kuwalea, kuwakuza na kuwapa baraka wazee wetu,ila kama ujuavyo, mambo ya internet ndiyo mambo siku hizi, Watanzania hatujuwi tufuate ya EU, USA, Scandinavia, Australia au New Zealand! Tupo tupo tu, kuiga kucha, tunahangaika tu..