Watu wengi waliopo kwenye ndoa hawana furaha!

Watu wengi waliopo kwenye ndoa hawana furaha!

Mfano unakuta mzazi mwenzio ni mkorofi vibaya yani akilianzisha ni atari huwa hajali. Na tayari mmezaa muna watoto wengine wadogo, wengine wapo skuli. Sasa hapo unafikiri hutavumilia kweli? Basi huna huruma na wanao.
Mimi nimelelewa na mama tuu ila niko vzuri kimaadili na nimejifunza kutoka kwake so i can do da same to my future chirldren..Mm najua kupenda yaan napendaga mzma mzma sasa nikikaa na mtu aeleweki uwa nakonda afu naeza nkafa kwa mawazo ndomana naona bora kutengana kama ndoa itanishinda nikiolewa.

Na kuusu kupenda watoto kwanini mwanaume asibadilike kama yeye ndio tatizo ili mimi nisiondoke kwake?? au yeye hana upendo na watoto?.
 
Mimi nimelelewa na mama tuu ila niko vzuri kimaadili na nimejifunza kutoka kwake so i can do da same to my future chirldren..Mm najua kupenda yaan napendaga mzma mzma sasa nikikaa na mtu aeleweki uwa nakonda afu naeza nkafa kwa mawazo ndomana naona bora kutengana kama ndoa itanishinda nikiolewa.
Na kuusu kupenda watoto kwanini mwanaume asibadilike kama yeye ndio tatizo ili mimi nisiondoke kwake?? au yeye hana upendo na watoto?.
Dah haya mambo mazito mama angu. Cha msingi kuomba dua tu mungu akufunulie njia sahihi. La sivyo acha tu ndoa zina mabalaa
 
Mejikuta nacheka kwa sauti mimi jamani...

Sijakudukua bana mhenga, huwa nakuzoom tuu akii...

Nothing's missing, there's no code, everything is open, just zoooommm[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Okey, 😂😂😂 basi sawa, welcome again to my shop, we can create something after God. Si unajua mambo ya old plus new gen.
 
Okey, [emoji23][emoji23][emoji23] basi sawa, welcome again to my shop, we can create something after God. Si unajua mambo ya old plus new gen.
Wanasema ati Old is Gold....
Hebu anza kunipea Gold kidogo Mhenga wangu...

Halafu hicho kiizraeli sijakielewa mimi jamani...
 
If it's that way then it's not right , you deserve some loving, some romance, some romantic gateouts hata kama ni kwenye ka restaurant, you deserve some moment of two Alone,
Moment of two alone zipo
Si mnapishana chumbani
Mko wenyewe tu

Get outs mtaenda kila siku?..
 
Sababu ya kwanza ni wahusika kutokuwa adaptive na mabadiliko ya status ya maisha kutoka single hadi kuwa married.

Status ya marriage inataka watu matured na wanaotambua kuwa mwenendo wao wa maisha unatakiwa kuwa tofauti na awali walipokuwa single.

Kuna vitu unapoingia kwenye ndoa utatakiwa viacha kabisa na kuna ambavyo utatakiwa kupunguza. Lakini pia kuna ambavyo utatakiwa ujifunze na kuvizoea kuwa sehemu ya maisha yako.

Marafiki zako au ndugu zako wanaweza kwambia kuwa mwanaume anaekupenda anatakiwa kukutoa out kila weekend. Kumbe mume wako upendo wake hauonyeshi kwa kutoa out mke wake bali kwa kumpikia na kutazama nae movie kuanzia ijumaa jioni hadi jumapili.

Its better kuelewa kuwa hii ni taasisi kamili hivyo inakwenda kwa kanuni. Hakuna taasisi utaingia na sheria na taratibu zako binafsi ukitaka wewe uiendeshe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupeni mrejesho kama mna furaha kweli!

Leo ukiangalia ndoa nyingi zimepooza na kufunikwa na wingu zito la mizozo kila kukicha

Ukiwauliza wanandoa wengi husema Mwanzoni mwa ndoa yetu tulipendana kwa dhati,lakini shauku na penzi letu siku hizi imepotea.

Hakuna urafiki mzuri kati yetu kama hapo awali wala hatufurahii kuwa pamoja,hata kucheka inakuwa tatizo pamoja na kulala kitanda kimoja na ushirika wao katika mambo mengi.

Ndoa zingine wana ndoa hawawezi hata kujadili matatizo yao kwa pamoja, mbaya zaidi kufanya mapenzi kwao imekuwa kama wajibu badala ya starehe.

Hii ni hatari maana hakuna mtu kati yao anayejisikia shauku ya mapenzi kwa mwenzi wake.

Ukichunguza sio kwamba kuna mtu anatoka nje ya ndoa hapana utawasikia wanasema ndoa yetu haina upendo.

Matatizo ya ndoa yapo mengi na yanatofautiana ndoa na ndoa,lakini vilio vingi vya ndoa vinafanana.

Nyongeza : Ambao hatujaolewa tunatamani kweli Kuingia kwenye ndoa .


Location: Napita kwa huzuni.
Embu ongea na Mama Demiss, yeye ana ushauri gani kwako juu ya hili? Na kwako wewe ambaye ni Product ya wanandoa embu tupe mrejesho wa kile ulichojifunza toka kwa wanandoa ambao umezaliwa na kukulia kwao, Nini mtazamo wako wa ndoa kupitia kwao?
 
Ndio maana sina mpango wa kuoa, japo nimeishi na mwanamke
 
Ila kimsingi napenda niwaambie jambo moja eji kizazi cha nyoka.

Haya yote ni matokeo ya kukaa mbali na neno la MUNGU aliye hai na anae ishi. Vijana wa sasa mnaabudu watu na kusikiliza maagano na maagizo ya wanadamu bila kujua haya huwapeleka moja kwa moja katika kufeli na kuishi maisha ya mateso, manyanyaso, mafarakano na kudhalilika kunakowaachia mkiwa wafu wanaotembea na kukosa hadhi ya utu.

Kimsingi, ndoa ni taasisi inayojengwa katika misingi ya ki MUNGU na si kidunia.....

Leo wengi wetu tunaingia tukiwa katika najisi ya uzinzi kwa maana tumeshatembea sana na watu tofauti kiasi kwamba miili yetu haina tena thamani kwa wale walioiona.... Hebu wazia wewe ni mke wa mtu ambae ulishawahi kuwa na mahusiano kadhaa nyuma lets say watu watatu kabla ya mumeo, wataka niambia kesho badala ya ndoa yako nyakati za magumu ya ndoa ukakutana na yule mzinzi mwenzako utakuwa salama na kujizuia kusaliti ndoa yako?!

Ni ngumu sana kujizuia kwa mtu ambae alishautazama huo mwili na kuchovya tupu yake kwako kulikoni mtu mpya ambae una uhakika hajui lolote juu ya mwili wako.

Hebu tujiruhusu kutambua kuwa tunamkosea MUNGU kwa kukiuka maagizo yake.

Kitendo cha kusema hutaolewa au kuoa na ile hali hauna sababu ya kimwili kukuzuia kufanya hivyo ni labda ukae maisha yako yote bila kufanya zinaa ila kama wajua utaendelea kufanya zinaa basi kaa ukijua hakuna la maana umeepuka ni heri ungeteseka katika ndoa mateso yako yangekuwa ya hekima kuliko furaha ya zinaa ambayo itakuja kukuacha na aibu utakayokwenda nayo kaburini.

Vijana mrejeeni MUNGU na kuyaelewa mafundisho yake nyakati hizi ngumu ambazo kuzishika amri za MUNGU huonekana ni jambo la ajabu na ni la kituko. Hebu msiogope kushika maandiko yake pale unapopitia nyakati ngumu basi mrejeeni MUNGU na mafunzo yake awatie nguvu na kuwaongoza.....

Hizo kero ni za muda tu na panapo MUNGU amani ya kweli hupatikana.

Mrejeeni MUNGU, acheni ufahari na ujuaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom