Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 3,011
- 4,617
Good girl!
Asanteee sana wangu nimekuelewa sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteee sana wangu nimekuelewa sana
Ni kwa wanandoa wajinga tuu!Tupeni mrejesho kama mna furaha kweli!
Leo ukiangalia ndoa nyingi zimepooza na kufunikwa na wingu zito la mizozo kila kukicha
Ukiwauliza wanandoa wengi husema Mwanzoni mwa ndoa yetu tulipendana kwa dhati,lakini shauku na penzi letu siku hizi imepotea.
Hakuna urafiki mzuri kati yetu kama hapo awali wala hatufurahii kuwa pamoja,hata kucheka inakuwa tatizo pamoja na kulala kitanda kimoja na ushirika wao katika mambo mengi.
Ndoa zingine wana ndoa hawawezi hata kujadili matatizo yao kwa pamoja, mbaya zaidi kufanya mapenzi kwao imekuwa kama wajibu badala ya starehe.
Hii ni hatari maana hakuna mtu kati yao anayejisikia shauku ya mapenzi kwa mwenzi wake.
Ukichunguza sio kwamba kuna mtu anatoka nje ya ndoa hapana utawasikia wanasema ndoa yetu haina upendo.
Matatizo ya ndoa yapo mengi na yanatofautiana ndoa na ndoa,lakini vilio vingi vya ndoa vinafanana.
Nyongeza : Ambao hatujaolewa tunatamani kweli Kuingia kwenye ndoa .
Location: Napita kwa huzuni.
Mshana JrTupeni mrejesho kama mna furaha kweli!

HahahaNdoa raha aisee. Hasa mkikutana wote mnapenda sex. I have been married for 6 years na kiukweli kuinjoy ni kwingi zaidi ya malumbano. My wife ananielewa nnachopenda, she knows my fantasies na ananijulia aisee.
Tatizo watu wanaoana bila kua marafiki. Big mistake.