Watu wengi waliopo kwenye ndoa hawana furaha!

Kinachokera michango ya harusi tunachangishana kwa nguvu zote halafu siku mbili unasikia jamaa wameachana...
 
Ni kwa wanandoa wajinga tuu!

Wanao amini hakuna uchawi, hawawezi kurogwa na mtu yeyote wanaodharau mila na desturi zao kwa sababu ya Dini ya Vatican.
Wanandoa wote wanarogwaga ili wasielewane ukibisha njoo nikupe dawa ujaribu tu. na wachawai hawatokagi mbali. Kutambika ni muhimu changanya Dini na matambiko ya kwenu.

Nimeoa mchaga lkn kila Desemba Moshiiiii kutambika na hatuna gogoro mwaka wa 50 sasa.

Wwafrica wewe ni mwafrica tuuu fanya kimababu, ukijifanya uzungu hayaaa ndo yanakushinda sasa.
 
Ndoa raha aisee. Hasa mkikutana wote mnapenda sex. I have been married for 6 years na kiukweli kuinjoy ni kwingi zaidi ya malumbano. My wife ananielewa nnachopenda, she knows my fantasies na ananijulia aisee.

Tatizo watu wanaoana bila kua marafiki. Big mistake.
 
Mshana Jr
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…