Watu wengi waliopo kwenye ndoa hawana furaha!

Kwahiyo tupambane na hali zetu
Acha kujitisha mwenyewe mkuu.wewe nenda kaolewe tu.offcourse kuolewa haijawahi kuwa kitu chepesi.ukiiona ndoq ni kitu chepesi basi ndoa yako haitakuwa yenye upendo kama ulivyosema
 
Nipe nafasi hakika hutajuta, always happy!
 
Mbona wanakataaa wanasema wana furaha na ndoa zao mm nahisi ndoa ni kama kuzimu ndogo
Kimsingi unachokisema kunaukweli ndani yake. Ndoa nyingi hazina furaha sio kwasababu watu hawapendani lahasha, bali kunanyakati huwa za furaha na nyakati za huzuni. Ni kama vile unavokula muwa tu.
 
SAWA MKUU
 
Bora useme wewe waelewe watu wanaoana kwa kufata mkumbo
Tatizo wanandoa wengi wanaoana kwa kufwata nyege .........zikiwaisha jumlisha changamoto za maisha ndoa chaliiiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…