Watu wengi waliopo kwenye ndoa hawana furaha!

Watu wengi waliopo kwenye ndoa hawana furaha!

Umeongea kwa uchungu sana kwahiyo wanandoa wameamua kuishi hivyo
Kwa kweli ndoa nyingi hazina Amani, na hakuna sababu ya msingi ya kutokuwa na Amani ila ni wanandoa wenyewe tu wameamua kuishi hivyo. Kwani kuishi kwa furaha au karaha ni maamuzi ya wanandoa, sasa kama mnaona karaha si muamue muishi kwa Amani ila kila mtu anajifanya yeye kamanda bendera bati mlingoti chuma. Acha sisi tuendele kula matunda tuliyorithi kuotka kwa adamu na Hawa
 
Hahahaha sawa hata mm sitaki
Unajuwa, wenye ndoa na wasio nazo wapo wenye furaha wasio nayo... Tofauti Yao NI kuwa wasio na ndio rahisi SANA kusema ITS OVER BILA KUHUSISHA MTU.. HUKU KWENYE NDOA UKIMFIKIRIA BABA PAROKO, NDUGU WA PANDE ZOTE, ETC unaona ngoja kwanza
 
Back
Top Bottom