Watu wengi waliopo kwenye ndoa hawana furaha!

swala hili lipo toka zamani tafauti iliyopo sasa na zamani ni kuwa

1. zamani mwanamke alikuwa hana sauti (mfumo dume) kwahiyo walivumilia yaliyo tokea ndani na kufunika kombe, ilikuwa aibu ya familia mwanamke kuachika. sasa hivi kila mmoja anasharubu hakuna kuvumiliana ni mwendo wa kupiga chini.

2. teknolojia imekuja kuharibu mfumo uliojengeka kama utamaduni na mila za kiafrika. sasa hivi kilammoja anaitwa mzungu, maisha ya kuigiza kwa pandezote mbili. Hakuna siri. Mtu akikwazika kaingia JF, FB INST. kutafuta solution anakutana na akina mtanashati, demiss at el wanaomjaza upupu na sio kwa wazazi wenye hekima wanaoweza kumfunda akaelewa.

3. Money (ask mengi widow)


 
Naomba nikuoe
 
Nimekaa.... Nimetafakariiii...nimegundua kuoa/kuolewa nimtindo wakizamani ambao ulishapitwa nawakati kama vile mwanamke kuvaa gaguro kwakipindi hiki
 
Oooh kwahiyo ni kweli haya mambo yanasababisha ndoa zisiwe na furahaaa
 
Hahahaha hongera wewe ni wachache kati ya mia .

Piah huwa sina muda wa kumchimba mtu sijazoea .
Basi kama unaniuliza, nakujibu uhalisia haswa, I am super happy with my marriage.

Itoshe hayo na usitake kunichimba hahaahaaahaha
 
Hahahaha wewe umetisha jaman kwahiyo saivi hakuna haja ya kuolewa?
Nimekaa.... Nimetafakariiii...nimegundua kuoa/kuolewa nimtindo wakizamani ambao ulishapitwa nawakati kama vile mwanamke kuvaa gaguro kwakipindi hiki
 
Nimekaa.... Nimetafakariiii...nimegundua kuoa/kuolewa nimtindo wakizamani ambao ulishapitwa nawakati kama vile mwanamke kuvaa gaguro kwakipindi hiki
Tupo pamoja mkuu. Imefika wakati tujitafakari na kuangalia mfumo mwingine kama wa ndoa za mikataba, open relationship..
 
Mm nimeshuhudia wamama kama watano wanalia ndoa ndoa sasa wananifanya nichanganyikiwe kabisa
Hata wewe Hina furaha kwenye mahusiano ambayo si ndoa... Na ndo sababu kupiga chini MTU hukawii au wewe kupigwa chini hukawii....
 
Kwa kweli ndoa nyingi hazina Amani, na hakuna sababu ya msingi ya kutokuwa na Amani ila ni wanandoa wenyewe tu wameamua kuishi hivyo. Kwani kuishi kwa furaha au karaha ni maamuzi ya wanandoa, sasa kama mnaona karaha si muamue muishi kwa Amani ila kila mtu anajifanya yeye kamanda bendera bati mlingoti chuma. Acha sisi tuendele kula matunda tuliyorithi kuotka kwa adamu na Hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…