Watu wengi waliopo kwenye ndoa hawana furaha!

Kwann unasema hivyo mkuu? Umegundua nn?
Tupo pamoja mkuu. Imefika wakati tujitafakari na kuangalia mfumo mwingine kama wa ndoa za mikataba, open relationship..
 
Umeongea kwa uchungu sana kwahiyo wanandoa wameamua kuishi hivyo
 
Hahahaha sawa hata mm sitaki
Unajuwa, wenye ndoa na wasio nazo wapo wenye furaha wasio nayo... Tofauti Yao NI kuwa wasio na ndio rahisi SANA kusema ITS OVER BILA KUHUSISHA MTU.. HUKU KWENYE NDOA UKIMFIKIRIA BABA PAROKO, NDUGU WA PANDE ZOTE, ETC unaona ngoja kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…