Watu wengi wanaompenda Lionel Messi wana IQ kubwa mno kuliko wale ambao wanampenda Christiano Ronaldo ambao wana chache

ngoja tuwaelimishe waliokua wanamuona Messi yupo juu kama mimi hapo awali!
Sema umuhimu wa Messi umeonekana wapi?katika ligi ngapi?
Ronaldo EPL La liga na Sasa ya Italy na atanyakua hii uefa akiwa na timu tofauti

Hivi mkuu unaweza kuhama kutoka Masaki kwenda kuishi Tandika
Ipi ligi bora kati ya ulizotaja na Spain ???
 
Football sio miti shamba, weka nguvu nyingi kwenye miti shamba utafanikiwa kwa utafiti, CR7 ni tumaini katika wakati mgumu, Messi anatumainiwa akiwa anacheza na sevilla
 
Mbona wewe unayo IQ ndogo na bado unampenda messi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeiweka kitaalamu sana..! Kweli IQ kubwa hii
 
ngoja tuwaelimishe waliokua wanamuona Messi yupo juu kama mimi hapo awali!
Sema umuhimu wa Messi umeonekana wapi?katika ligi ngapi?
Ronaldo EPL La liga na Sasa ya Italy na atanyakua hii uefa akiwa na timu tofauti

Sasa kama tayari tu unajiita / unaitwa Bongo Lala kwanini Mimi nipoteze muda wangu muhimu Kukuelimisha Wewe?
 
mkuu kwani unateseka na matokeo ya jana!!?

Kwann uteseke??

Lionel Messi ameshafanya mara 51 zaidi ya mara 9 ya alichokifanya huyo Christiano Ronaldo wenu hapo jana. Magoli yenyewe yote ni ya Ndondokela / Kubahatsha tupu.
 
Football sio miti shamba, weka nguvu nyingi kwenye miti shamba utafanikiwa kwa utafiti, CR7 ni tumaini katika wakati mgumu, Messi anatumainiwa akiwa anacheza na sevilla

Umeanza Kuvuta Bange / Bangi lini?
 
Nakuhurumia sana Mtoa mada Unateseka sana, Ronaldo Taifa lake kalipa kombe la Euro sasa huyo mtu mfupi kaisaidia nini Argentina?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ujanja wake woote Barcelona ila Mnyama Kaanzia kwao Portugal Sporting Lisbon kaenda Man u, kaenda Madrid na sasa yupo juve kote anakiwasha [emoji41][emoji41][emoji41] ila huyo andunje kwenye Taifa lake tu panamshinda je akihama League? Usimfananishe Ronaldo na mambo ya kipumbavu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sasa kama tayari tu unajiita / unaitwa Bongo Lala kwanini Mimi nipoteze muda wangu muhimu Kukuelimisha Wewe?
Cristiano Ronaldo goes past 60 #UCL knockout goals!

⚽️62 Ronaldo
⚽️40 Messi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…