bobefu zoefu
JF-Expert Member
- Feb 15, 2018
- 566
- 420
KabisaKwa ulichoandika hapa ni hakika na WW ni shabiki wa Ronaldo kama mm
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaKwa ulichoandika hapa ni hakika na WW ni shabiki wa Ronaldo kama mm
Sent using Jamii Forums mobile app
ngoja tuwaelimishe waliokua wanamuona Messi yupo juu kama mimi hapo awali!
Sema umuhimu wa Messi umeonekana wapi?katika ligi ngapi?
Ronaldo EPL La liga na Sasa ya Italy na atanyakua hii uefa akiwa na timu tofauti
Mbona wewe unayo IQ ndogo na bado unampenda messi?Binadamu yoyote aliyebarikiwa ' IQ ' kubwa na Mwenyezi Mungu lazima tu atakuwa anampenda Lionel Messi ambaye huwa anafanya sana Vitu adimu Uwanjani ambavyo pia vinahitaji Akili lakini wale wasio nazo lazima tu watafanana na Christiano Ronaldo ambaye hutumia nguvu nyingi Uwanjani pasipo akili.
Utafiti wa ' Kienyeji ' uliofanywa na GENTAMYCINE umegundua ya kwamba kila akikutana na Watu ambao wanampenda na kumkubali sana Lionel Messi huwa naona wengi Wao huwa ni ' Very Intelligent people ' tofauti na wale ambao mara nyingi mno nimekuwa nikikutana nao na Kugundua wanampenda Christiano Ronaldo ambao Kiukweli hata uwezo Wao wa Kufikiri huwa ni mdogo hadi wanatia Huruma.
Huchukua Miezi mitatu hadi minne kwa Christiano Ronaldo Kuiga kile ambacho hukifanya Lionel Messi Uwanjani ila humchukua tu Siku moja Lionel Messi kufanya kile ambacho kimefanywa na Christiano Ronaldo. Na ndiyo maana hata Wanasayansi wengi sana Ulimwenguni wamembatiza Lionel Messi jina la ' Football Genius of the Century ' kwa Vitu vyake adimu ila Wanasayansi hao hao hawakuwa na muda mchafu wa Kupoteza kuanza Kumjadili Christiano Ronaldo na aina ya Uchezaji wake kwani wameona kuwa hana Kitu cha Kumfananisha / Kumlinganisha na aliyezaliwa na Mpira wake Lionel Messi.
Ukitaka nawe ujulikane una IQ kubwa basi kuanzia leo anza Kumpenda na Kumkubali Lionel Messi ila ukitaka uanze Kuonekana ' hamnazo ' Kichwani basi Wewe mpende tu Christiano Ronaldo ambaye Yeye anachokijua ni Kutumia tu ' Miguvu ' ndipo afunge wakati Mwenzake anatumia 98% Akili na hizo 2% ndiyo Nguvu na pia Mpira wenyewe huwa unamuheshimu Yeye wakati Christiano Ronaldo huwa anaulazimisha Mpira umuheshimu.
Nawasilisha.
umelogwa Basha wewe, diamond foreverUko Sawa ni sawa na Mashabiki wa Ali Kiba wana akili sana kuliko mashabiki Diamond hilo lipo wazi.
umeiweka kitaalamu sana..! Kweli IQ kubwa hiiBinadamu yoyote aliyebarikiwa ' IQ ' kubwa na Mwenyezi Mungu lazima tu atakuwa anampenda Lionel Messi ambaye huwa anafanya sana Vitu adimu Uwanjani ambavyo pia vinahitaji Akili lakini wale wasio nazo lazima tu watafanana na Christiano Ronaldo ambaye hutumia nguvu nyingi Uwanjani pasipo akili.
Utafiti wa ' Kienyeji ' uliofanywa na GENTAMYCINE umegundua ya kwamba kila akikutana na Watu ambao wanampenda na kumkubali sana Lionel Messi huwa naona wengi Wao huwa ni ' Very Intelligent people ' tofauti na wale ambao mara nyingi mno nimekuwa nikikutana nao na Kugundua wanampenda Christiano Ronaldo ambao Kiukweli hata uwezo Wao wa Kufikiri huwa ni mdogo hadi wanatia Huruma.
Huchukua Miezi mitatu hadi minne kwa Christiano Ronaldo Kuiga kile ambacho hukifanya Lionel Messi Uwanjani ila humchukua tu Siku moja Lionel Messi kufanya kile ambacho kimefanywa na Christiano Ronaldo. Na ndiyo maana hata Wanasayansi wengi sana Ulimwenguni wamembatiza Lionel Messi jina la ' Football Genius of the Century ' kwa Vitu vyake adimu ila Wanasayansi hao hao hawakuwa na muda mchafu wa Kupoteza kuanza Kumjadili Christiano Ronaldo na aina ya Uchezaji wake kwani wameona kuwa hana Kitu cha Kumfananisha / Kumlinganisha na aliyezaliwa na Mpira wake Lionel Messi.
Ukitaka nawe ujulikane una IQ kubwa basi kuanzia leo anza Kumpenda na Kumkubali Lionel Messi ila ukitaka uanze Kuonekana ' hamnazo ' Kichwani basi Wewe mpende tu Christiano Ronaldo ambaye Yeye anachokijua ni Kutumia tu ' Miguvu ' ndipo afunge wakati Mwenzake anatumia 98% Akili na hizo 2% ndiyo Nguvu na pia Mpira wenyewe huwa unamuheshimu Yeye wakati Christiano Ronaldo huwa anaulazimisha Mpira umuheshimu.
Nawasilisha.
ngoja tuwaelimishe waliokua wanamuona Messi yupo juu kama mimi hapo awali!
Sema umuhimu wa Messi umeonekana wapi?katika ligi ngapi?
Ronaldo EPL La liga na Sasa ya Italy na atanyakua hii uefa akiwa na timu tofauti
mkuu kwani unateseka na matokeo ya jana!!?
Kwann uteseke??
Football sio miti shamba, weka nguvu nyingi kwenye miti shamba utafanikiwa kwa utafiti, CR7 ni tumaini katika wakati mgumu, Messi anatumainiwa akiwa anacheza na sevilla
Binadamu yoyote aliyebarikiwa ' IQ ' kubwa na Mwenyezi Mungu lazima tu atakuwa anampenda Lionel Messi ambaye huwa anafanya sana Vitu adimu Uwanjani ambavyo pia vinahitaji Akili lakini wale wasio nazo lazima tu watafanana na Christiano Ronaldo ambaye hutumia nguvu nyingi Uwanjani pasipo akili.
Utafiti wa ' Kienyeji ' uliofanywa na GENTAMYCINE umegundua ya kwamba kila akikutana na Watu ambao wanampenda na kumkubali sana Lionel Messi huwa naona wengi Wao huwa ni ' Very Intelligent people ' tofauti na wale ambao mara nyingi mno nimekuwa nikikutana nao na Kugundua wanampenda Christiano Ronaldo ambao Kiukweli hata uwezo Wao wa Kufikiri huwa ni mdogo hadi wanatia Huruma.
Huchukua Miezi mitatu hadi minne kwa Christiano Ronaldo Kuiga kile ambacho hukifanya Lionel Messi Uwanjani ila humchukua tu Siku moja Lionel Messi kufanya kile ambacho kimefanywa na Christiano Ronaldo. Na ndiyo maana hata Wanasayansi wengi sana Ulimwenguni wamembatiza Lionel Messi jina la ' Football Genius of the Century ' kwa Vitu vyake adimu ila Wanasayansi hao hao hawakuwa na muda mchafu wa Kupoteza kuanza Kumjadili Christiano Ronaldo na aina ya Uchezaji wake kwani wameona kuwa hana Kitu cha Kumfananisha / Kumlinganisha na aliyezaliwa na Mpira wake Lionel Messi.
Ukitaka nawe ujulikane una IQ kubwa basi kuanzia leo anza Kumpenda na Kumkubali Lionel Messi ila ukitaka uanze Kuonekana ' hamnazo ' Kichwani basi Wewe mpende tu Christiano Ronaldo ambaye Yeye anachokijua ni Kutumia tu ' Miguvu ' ndipo afunge wakati Mwenzake anatumia 98% Akili na hizo 2% ndiyo Nguvu na pia Mpira wenyewe huwa unamuheshimu Yeye wakati Christiano Ronaldo huwa anaulazimisha Mpira umuheshimu.
Nawasilisha.![]()
Cristiano Ronaldo goes past 60 #UCL knockout goals!Sasa kama tayari tu unajiita / unaitwa Bongo Lala kwanini Mimi nipoteze muda wangu muhimu Kukuelimisha Wewe?